Ladder 49
JF-Expert Member
- Dec 19, 2017
- 8,069
- 20,330
Firmino kwa sasa sio chaguo la kwanza na uwezo wake umeshuka kidogo.
Mkuu umeshuka kwenye mechi gani? Mechi na Fulham?
Au na mechi dhidi ya man city. Mchezaji gani hajawahi kushuka kiwango hapo epl?
Mashabiki wa Liverpool tumeanza kuwa wa hovyo siku hizi.
Maneno yote hayo kutoka na sare dhidi ya Fulham tu.