Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Heheheh mimi nasubiri kuona hicho kiburi chake kitamfikisha wapi maana ni wazi kuna ombwe la midfield pale ila anajifanya anakomaa na hendo na thiago na keita ambao wao mda mwingi wapo wodini. Toa mpunga kachukue barella au frenki de jong huko hatakiwi halafu unatulia uone ndoo ya epl inakuja yenyewe pale anfield.
Ngoja tuone mpaka dirisha linafungwo atatufikisha wapi huyu stubborn Nazi kwenye usajili...

Shabiki mwenye imani humu na MF yetu hakika anastahili pongezi.

YNWA
 
Heheheh mimi nasubiri kuona hicho kiburi chake kitamfikisha wapi maana ni wazi kuna ombwe la midfield pale ila anajifanya anakomaa na hendo na thiago na keita ambao wao mda mwingi wapo wodini. Toa mpunga kachukue barella au frenki de jong huko hatakiwi halafu unatulia uone ndoo ya epl inakuja yenyewe pale anfield.
Ningekuwa mimi Thiago ningeumia kila siku ili akili iwakae sawa Hawa mafala viongozi wasiotaka kuongeza kikosi ila wanataka wenzao wacheze bandika bandua kama mashine.

Aendelee kuumia tu hivyohivyo..
Hii timu inajidai miamba sana ya miujiza..
Tumewaacha akina Hendo ati wacheze pekeyao na sisi tunawaza kushinda EPL!,,,we haya tu😃
 
😂 😂 😂 😂 😂 😂 Kwa hio Klopp anatafuta headlines kwamba alishinda EPL 2022 2023 akiwa na MF pedestrian na nusu ya msimu hao MF wakiwa Male ward kwa Andrew Massey.

Klopp is just being stubborn anapenda sana kufanya kinyume na matarjio ya wengi..

Hili lipo wazi Fabinho is over used. Hao wengine hakuna mwenye uhakika wa kukupa unachotaka.

YNWA
Akiwa na Midfield inayoongozwa na Captain letu la dunia 😂😂

Yaani Hendo akacheze ili eti tushinde EPL ,,we haya tu
Safari hii ,kwa hii midfield siyo Carabao ,UCL Wala hiyo FA..tutatoka mapema sana,,robo fainali tu tutaisikilizia redioni.
 
😂😂😂😂😂😂😂Klopp atatuvusha salama kote kama alivyotuvusha miaka yote 🤓🤓🤓 namkumbuka Mzee Wenger ndio haya yanayomkuta Klopp i guess ni mid age crisi 🙈🙈🙈kwamba the Gaffer is always right....

Ngoja tuone.

Labda kutuvusha mto😂
Wasipopanua kikosi kati hatuvuki popote hata afanye mazingaombwe kiasi gani😂😂😂
 
Jamani ligi ndio imeanza... its sad fulham anawatoa jasho....

Niliwadhamini kwamba mna timu nzuri mmeanza kunipa wasiwasi.

Fanyeni usajili au mnipee Saint Anne

Acha niwaamini Totte. Only kwa sababu ya Conte na si vinginevyo.

Tunaenda kwa miujiza,Labda Mungu tu aingilie kati🤣🤣🤣
 
Heheheh mimi nasubiri kuona hicho kiburi chake kitamfikisha wapi maana ni wazi kuna ombwe la midfield pale ila anajifanya anakomaa na hendo na thiago na keita ambao wao mda mwingi wapo wodini. Toa mpunga kachukue barella au frenki de jong huko hatakiwi halafu unatulia uone ndoo ya epl inakuja yenyewe pale anfield.
Namtaman Sana barella...daah basii TU
 
Ngoja kila msimu tufanye catch up game af tuna jifaliji ilibaki kidogo sababu ya ubishi wa klopp na loyalty za kijuaji
Kuna Conte pale spurs hajaja kufeli na hana iyo record mwenzio guadiola kaushtukia mchezo yeye anajiona genius.

Angekua genious leo tusingekua na epl 1
 
Mkuu Klopp ana pride moja ya ajabu sana...yaaani hua anakufa na tai shingoni lakini akikamatika hua anapoa kama maji ya mtungi kwa mfano Klopp huyu huyu aliwai kusema hawezi kununua mchezaji wa £80m nadhani ilikua kipindi Pogba ananunuliwa Manchester United kwa £89m, baadae Klopp huyu huyu akaja kumnunua VVD na sasa Nunez kwa bei za kutisha.. Hivyo huyu atapoa tu muda utasema tu maana ushindi wa pointi 3 ndio kazi yake pale maneno mengi wala hayana tija.

Ishu ya kuwang'ang'ania unashangaa aje wakati kwa mfano hisoria ya majeruhi ya Thiago na Chamberlain ipo well documented tangu wapo Arsenal na Bayern sijui alitegemea muujiza upi wakihamia kwetu...

Kwa sasa tuwe na subira wagonjwa wapone waje kuamsha hakuna lingine...

Hili la Hammers last season kwao tulipigwa safi kabisa. Ukitazama MF ya Pep inatisha na wote ni ballers hakuna bams pale hakika ubingwa ni mali yao kabisaaa. Tazama MFs pale Ethad ni Rodri, Bernado, Gudgon, Philips, Debruyne wote hao ni kazi kazi. AMW kwao ni Foden, Mahrez na Grealish.

Nwa nina imani na Klopp atafanya jambo sokoni kwa wakati ambao ataona ni sahihi kwake.

YNWA
Yaani hadi aje afanye kitu sokoni ,City watakuwa washatuacha point nyingi,
Sijui sasa tutamtuma Gerrard akatengue miguu hadi awafunge ili tushinde🤣

Yaleyale ya msimu uliopita.. yaaani tunataka kucompete Kwa miujiza akiyanani LFC ni kiboko😂😂😂🙌
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom