Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Na Thiago majeruhi na Klopp wala hana mpango wa kusajili aisee huyu Klopp hua namkumbali sana kwa misamamo tata maana unaacha kusajili huku pale kati pamejaa utopolo na wagonjwa yaaani hayaaaaaaaa.

YNWA
Na ndio pamepwaya hapa kati,madogo wametawala,zinaonekana jezi nyeupe tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom