King Ngwaba
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 3,417
- 7,370
Nunez
Kwahiyo Washindani Wetu wameanza kusema Marahii hatuna uwezo kisa Tumetoa sare na Fulham sio?
Hata Msimu uliopita kabla ya hata kuanza walisema tutapoteana.
Lakini leo nasema hapa wazi mwisho wa Msimu tutakaobakia ni Man City na Liverpool kukimbizana! Hao waliobakia wataishia kugombania Top Four tu.

Tunamwonea tuu aibu fabinho lakini naye pia kiwango chake ni maji kupwa maji kujaa, hana consistency kivile kama msimu wa 2019-20, Tulimuacha Ginni asepe lakini naamini hakuna kiungo aliyebaki pale mwenye uwezo aliokua nao Ginni hasa wa kufunga
yaap ukilinganisha na hawa waliopo kina Fabinho, Thiago, keita, Henderson, tena Ginni magoli ya kibabe ya point 3Gini alikua anafunga?
wana hoja, Miaka 7 ya JK EPL 1 tuu hii haikubaliki , lengo la Liverpool ni ubingwa sio kumaliza nafasi ya pili nyuma ya City na kusema tumejitahidi kisa hatukuanza msimu vizuriKwahiyo Washindani Wetu wameanza kusema Marahii hatuna uwezo kisa Tumetoa sare na Fulham sio?
Hata Msimu uliopita kabla ya hata kuanza walisema tutapoteana.
Lakini leo nasema hapa wazi mwisho wa Msimu tutakaobakia ni Man City na Liverpool kukimbizana! Hao waliobakia wataishia kugombania Top Four tu.
Hapa kazi tunayoNext game Midfielders ni MILNER-HENDO-CAVALHO
Hapo kwanza nicheke tu

Manure ni Utopolo FC ya Ulaya
wana hoja, Miaka 7 ya JK EPL 1 tuu hii haikubaliki , lengo la Liverpool ni ubingwa sio kumaliza nafasi ya pili nyuma ya City na kusema tumejitahidi kisa hatukuanza msimu vizuri
Tunamwonea tuu aibu fabinho lakini naye pia kiwango chake ni maji kupwa maji kujaa, hana consistency kivile kama msimu wa 2019-20, Tulimuacha Ginni asepe lakini naamini hakuna kiungo aliyebaki pale mwenye uwezo aliokua nao Ginni hasa wa kufunga
Firmino kwa sasa sio chaguo la kwanza na uwezo wake umeshuka kidogo.Umemaanisha kuwa Fabinho ndio anatakiwa kuwa anafunga? Firmino je?