Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220806_191421_com.android.chrome_edit_102458321609884.jpg

YNWA
 
Na Thiago majeruhi na Klopp wala hana mpango wa kusajili aisee huyu Klopp hua namkumbali sana kwa misamamo tata maana unaacha kusajili huku pale kati pamejaa utopolo na wagonjwa yaaani hayaaaaaaaa.

YNWA
Tunasubiri tushinde kimiujiza ya Klopp.
Tatizo liva huko wenyewe wanajionaga Malaika wanayaweza yasiyowezekana.

Haya,ngoja tuone tunavyoendelea kubamizwa.
 
Screenshot_20220806_221551_com.android.chrome_edit_102980407764492.jpg

Aisee mwenye namba ya Klopp ampigie amwambie wingi wa Midfielders Liverpool sio hoja mbali ubora wao na kwa waliopo sasa sio levo zinazotupeleka kileleni.

Nashindwa kuelewa jambo hili, Klopp alijua fika msimu uliopita kwamba atahitaji kununua MF ndio akazama mazima kwa Tchouameni dogo akasepa zake Real Madrid sasa Klopp anavyolalamika kwamba MF haikua bora leo alitegemea nini kwa MF wale wale wa msimu uliopita.

Unasaka ushindi aafu unamwingiza Milner.

Klopp is damn too loyal. Sio bure.

Imagine unasaka ushindi ukiwa na Milner na Henderson kama MF jamani nyie haya.

Kama vile hii ishu ya Tchouameni ilikua PR ya FSG kutuaminisha wanampa sapoti Klopp...

Sare ya leo ni safi dirisha likiwa wazi hatutaki lawama kutoka kwa Klopp tunataka ushindi sisi.

YNWA
 
Tunasubiri tushinde kimiujiza ya Klopp.
Tatizo liva huko wenyewe wanajionaga Malaika wanayaweza yasiyowezekana.

Haya,ngoja tuone tunavyoendelea kubamizwa.
Hahahaha wanaishi kwa kukopi na kupasti...

Ninawapa Tottenham nafasi kubwa sana kuleta ushindani pale juu msimu huu.

Hata miujiza ya Klopp ina mwisho wake. Hahaha Klopp angekua anasoma memo za Wenger kipindi anashauriwa asajili the next Viera angeelewa umuhimu wa kuimarisha pale kati ni kama vile anapachukulia powa...

Ox pancha muda wote.
Keita pancha nusu ya msimu...
Henderson nusu pancha...
Thiago nusu pancha...
Fabinho semi pancha..
Milner sijui wa nini mpaka sasa.
Jones kipaji levo bado.
Elliot kipaji levo bado.
Fabio bado mapema.

Sasa unajiuliza kwa hali hii kweli tupo kusaka ubingwa au top 4.

YNWA
 
Liverpool kupata ubingwa msimu huu lazima wengine wapoteane.

Tuna imani na Klopp, haibadilishi ukweli weak link ya Liverpool ni MF.

YNWA
Mna kikos kimoja , omben wasipate majeruhi hasa kiungo Kama msimu uliopita ,ikitokea Thiago akawa trip shamba trip garage ,kaz mnayo, niliona na hendo ameanza kuwa mtu wa injury.

Liverpool IPO Kwenye kiungo ,
 
View attachment 2316546

Aisee mwenye namba ya Klopp ampigie amwambie wingi wa Midfielders Liverpool sio hoja mbali ubora wao na kwa waliopo sasa sio levo zinazotupeleka kileleni.

Nashindwa kuelewa jambo hili, Klopp alijua fika msimu uliopita kwamba atahitaji kununua MF ndio akazama mazima kwa Tchouameni dogo akasepa zake Real Madrid sasa Klopp anavyolalamika kwamba MF haikua bora leo alitegemea nini kwa MF wale wale wa msimu uliopita.

Unasaka ushindi aafu unamwingiza Milner.

Klopp is damn too loyal. Sio bure.

Imagine unasaka ushindi ukiwa na Milner na Henderson kama MF jamani nyie haya.

Kama vile hii ishu ya Tchouameni ilikua PR ya FSG kutuaminisha wanampa sapoti Klopp...

Sare ya leo ni safi dirisha likiwa wazi hatutaki lawama kutoka kwa Klopp tunataka ushindi sisi.

YNWA
Uza Kisha nunua ndio sera ya Usajiri wa hao FSG, au mmeisahau?

Baada ya Usajiri wa Nunez ,nilijua Tyr mmefunga Usajiri, haikuhitaji degree Kama unaijua hiyo sera.

Wale mliouza Ile hela ndio imemleta Nunez ,itakuwa wameongezea kiduchu, Net spent sidhan hata Kama £25m inafika,

Jude Bellingham Ni £100m

Matheus Nunes mlikana Kabisa hamuhusiki

Touchmen ilikuwa sound ,labda mngeuza ndio mngeleta wachezaji wawili kwa €80m.

UZA NUNUA hii sera ipo wazi Sana ,Klopp anajitahidi kubalance kikos chake atembee nacho hivo hivo

Thiago au fabinho wakiumia atapata tabu Sana,
 
Mna kikos kimoja , omben wasipate majeruhi hasa kiungo Kama msimu uliopita ,ikitokea Thiago akawa trip shamba trip garage ,kaz mnayo, niliona na hendo ameanza kuwa mtu wa injury.

Liverpool IPO Kwenye kiungo ,
Klopp hua ngumu sana kuelewa huko mazoezini hawa MF wetu wanampa nini na uwanjani wanatupa nini maana kwa timu ilipofikia ni aibu kung'ang`ania wagonjwa na utegemer tuzime uflame wa Pep pale Uingereza.

Nimeona eti Keita washafikia pazuri kwenye nyongeza ya mkataba mpya sasa unajiuliza hio nyongeza mbona kimeo maana babu Keita hawezi kukupa gemu 30 kwa msimu akiwa starter.

Nasikitika sana hii ishu FSG wanaichukulia powa sana. Asipofunga ma forward kwa kukosa pasi kisu kutoka MF inakua lawama kwa LB na RB sababu tumeshazoea kwamba MF sio kazi yao kufunga...

Mhmh huyo Henderson hua katika msimu mzima sana sana atakupa gemu 5 tu nzuri na zingine anakua wa hovyo ndio anaongoza Liverpool kua out of position, out of rhythm nk

Nwa ngoja tuwe na subira.

YNWA
 
JAPO WANA LIVERPOOL WENGI MLINIKEBEHI, ILA NILIWEKA MTAZAMO KISOKA ,

HILI TATIZO NALIONA MBELENI LIKIWATOKEA , SABABU MNA MICHUANO MINGI , KIKOSI KIMOJA

VIUNGO WENU WAMETUMIKA SANA MSIMU ULIOPITA ,MMECHEZA MECH NYINGI SANA
Liverpool Ndugu zangu, Usajiri mmefunga ,msimu ujao Sub 5

Je mnategemea miujiza Tena itokee msipate majeruhi ya Thiago ,na Fabinho?

Twende sawa nielezen vzr

Akikosekana Thiago au Fabinho au wote mnapoteana Katikati

Thiago Ni injury prone mkubwa, msimu uliopita ndipo kajitahidi kucheza mech nyingi nadhan toka aje Liverpool

Fabinho Ndiye naona ana uwezo wa kucheza mech nyingi

Henderson ameshakuwa mtu wa injury Sana

Sub mnazotegemea Ni

Milner(injury prone +Age )

Keita(injury prone)

Chamberlain

Jones

Elliott

Carvalho

NAOMBENI KUJUA JE MNAANZA LIGI MBIO NDEFU, YENYE SUB 5, MICHUANO MINGINE KAMA FA,UCL, NA CARABAO MKITEGEMEA MIUJIZA KAMA YA LAST SEASON ,THIAGO ASIUMIE ?

KAMA AKIUMIA THIAGO ( NI GUARANTEE ) TUTEGEMEE KIUNGO CHA

MILNER FABINHO HENDO

HENDO FABINHO ELLIOT

KEITA FAB HENDO

MKIPATA MAJERUHI WAWILI TU KWENYE MID MNAZIDI KUWA SHAKANI

tayari mna watu wametumika Sana , ambao hawawez kwenda mechi 10 hatujasikia lolote THIAGO, HENDO NA KEITA

SWALI LANGU, JE LIVERPOOL INASUBIRIA MIUJIZA YA THIAGO ,FAB NA HENDO WASIPATE MAJERAHA IKIWA 70% HENDO NA THIAGO NI INJURY PRONE
 
Uza Kisha nunua ndio sera ya Usajiri wa hao FSG, au mmeisahau?

Baada ya Usajiri wa Nunez ,nilijua Tyr mmefunga Usajiri, haikuhitaji degree Kama unaijua hiyo sera.

Wale mliouza Ile hela ndio imemleta Nunez ,itakuwa wameongezea kiduchu, Net spent sidhan hata Kama £25m inafika,

Jude Bellingham Ni £100m

Matheus Nunes mlikana Kabisa hamuhusiki

Touchmen ilikuwa sound ,labda mngeuza ndio mngeleta wachezaji wawili kwa €80m.

UZA NUNUA hii sera ipo wazi Sana ,Klopp anajitahidi kubalance kikos chake atembee nacho hivo hivo

Thiago au fabinho wakiumia atapata tabu Sana,
Hawa ma Yankees ni kiboka yaaani hua nikikumbuka kituko cha usajili wa January 2021 hua naishiwa pozi.. Yaaani wanategemea miujiza ya Klopp kutuvusha salama tena na msimu huu. Wakati mwingine kama vile tupigwe tutoke big 4 ili akili awakae sawa.

Klabu inajiedesha kwa faida na Klopp hajasema anamtaka Messi mbali apewe bajeti ya MF angalau £50m mbona wachezaji wazuri wapo.

Payroll imepumua wafuatao hawapo tena kikosini
Sadio Mane – Bayern Munich
Takumi Minamino – Monaco
Neco Williams – Nottingham Forest
Ben Davies – Rangers
Tom Clayton – Swindon Town
Divock Origi – AC Milan
Loris Karius – hata sijui alipo
Ben Woodburn – Preston
Sheyi Ojo – Cardiff
Elijah Dixon-Bonner
Luis Longstaff –
Sean Wilson –

Sasa hao wote mshahara wao umeodolewa Liverpool kwa hio nafasi ya kusajili tena bado ipo lakini kwa Klopp kupenda kukomaa na England bams silioni labda jeraha la Thiago liwe kubwa na akumbali kutafuna maneno yake arudi sokoni.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom