Anyway Klopp knows better than me when it comes on tactics. But kuna vitu hauhitaji degree kuving'amua. MF its too weak (injury prone & aging) hendo na thiago wameshapuliziwa vispray not a good sign. Atleast walipoingia damu changa Elliot,Nunez, Carvalho tukaona kampira flani. Vipo vitu ni udhaifu na kuvisolve ni kupata two quality and young MF ( DM & CM).Leo mpaka Fabinho kala sub.
Kutokua na MF za kazi kazi ni kikwazo kwa Klopp kufikia malengo yake Liverpool.
YNWA
[emoji23][emoji23][emoji23]Liverpool Wamepanda Mtumbwi wa Vibwengo[emoji16][emoji16]
Bhanaaa wala sio bure.Maboss zetu fsg nadhani wana undugu na wachaga sio bure.
Kuku mwenye kideri hana tofauti na teja.Piga hao[emoji16][emoji16]