Timu hizi zinkuwa tofauti kwenye finali na usiombe kukutana nazo
Chelsea
Real Madrid
Juventus ndio timu pekee ilishindwa mara nyingi fainali za UEFA zaidi ya Liverpool
Juve kashondwa mara 5
Liverpool kashindwa mara 3
Mkuu huyu dogo mngekomaa mbaki nae mazima yaaani bonge la kipa Thibaut jana kawapa Real Madrid kombe.Timu hizi zinkuwa tofauti kwenye finali na usiombe kukutana nazo
Chelsea
Real Madrid
Timu hizi zinkuwa tofauti kwenye finali na usiombe kukutana nazo
Chelsea
Real Madrid
Hii staili ya kukaba ya vvd inaitwaje,? Apa alikuwa na lengo gani😂😂😂😂🤣Jamaa Mzee wa Ass defendingView attachment 2243413
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
Iv kumbe FA cup Ina ela mbuzi ivyo😳😳Chelsea Season vs Liverpool Season
Super cup- £4m
Club World Cup- £4.5m
Carabao Cup- £100k
FA cup- £1.8m
Extra £15m for Hazard winning the UCL vs Liverpool
Jana ni fainali ya tatu msimu huu tumeshindwa kupata goli kwenye open play hii sio ishara nzuri kabisa..Msimu huu chelsea kacheza fainali ngapi na kachukua ngapi?
Mnalazimisha tu Kwa sababu Liverpool kafungwa ndio tukubali tu kila kitu?
Chelsea mbona ya kawaida sana haina maajabu yoyote.
Strika Darwin Nunez any day of the week. Haya mambo ya false 9 yapumzike kwa muda sasa.Mana na Salah wanaondoka
Gnabry akicheza Winga ya kulia
Diaz akicheza Winga ya kushoto
Kati kati atafutwe Striker kwasababu Origi pia kaondoka atabaki Jota pekeyake ambaye kiukweli ni Squad player.
Tatizo mlizidi maneno. Ngoja wawanyooshe!Nadhani huu uzi wa Liverpool ni watu wanajadiliana team yao kwa mazuri na mabaya sasa hawa wanaacha uzi wa team zao kutwa wanashinda humu kuongelea Liverpool inaonesha sisi ni kama maji utayanywa tu.
Ass defending hyo manHii staili ya kukaba ya vvd inaitwaje,? Apa alikuwa na lengo gani![]()



Mkuu hawa FSG ubahiri wao unaleta haya machungu yote yaaani kwa uwepo wa Klopp Liverpool ilitakiwa mpaka sasa tuwa pazuri zaidi ya hapa lakini hawatoi ela ya usajili inapotokea fursa ya kuboresha kikosi wao wanakomaa na sell to buy manenos...Twende mazima kwa
1.Gnaby
2.Bowen(nawasiwasi atakuwa floper)
Jana ni fainali ya tatu msimu huu tumeshindwa kupata goli kwenye open play hii sio ishara nzuri kabisa..
Mechi ya jana ilikua ya 63 msimu huu tumecheza hakika ni mechi nyingi kama wachezaji wamejituma sana mpaka kufika hapa lakini pamoja na jitahada hizo tuna mapungufu pale kati na straika mmoja anahitajika..
YNWA