Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Habari wana kops wenzangu,Hv hz tetesi za Mbappe kuwa anataka kuja Liverpool zimekaaje wakuu??
Kuna updates nimeipata kuwa amekubali kwa laki 5 kwa week na pia ile ada yake ya usajiri amekubali pay cut ili atue Liverpool maana anaamini Klopp ni kocha sahihi wa kuendeleza kipaji chake.

Pia naomba kujuzwa Updates za Fabinho,VVD.
 
Phil Foden amepata dakika za kutosha zaidi ya Jones.

Kuuzwa hapana huyu apate mkopo mmoja na akirejea atakua sharp shooter nje ya 18 ambae kwa sas hatuna mchezaji kama huyo.

YNWA
Huyu nafasi kaipoteza mwenyewe umesahau alikua hakosi mechi mpaka alivyo kuzunguuka na mpira hovyo.

Kumbuka hata Eliot alisha aminiwa kabla hajaumia

Foden alijaribiwa akajituma asaivi ni tegemeo
 
Kuelekea tarehe 28 unadhani pale nyuma vvd acheze na nani tumfiche big benz na wenzie?
Captain Marvelous
Pale nyuma ni
Trent Matip VVD Robertson
Pale kati
Henderson Fabinho Thiago
Pale mbele
Salah Mane Diaz

Dogo Konate ana rekodi nzuri ya kutopoteza gemu mpaka sasa lakini hana msaada wowote wa kupiga pasi ndefu au kutembea na mpira kwenda na kujaribu kuanzisha mashambulizi hua naona kama bado ana uogo pengine kutokana na umri ama hana accuracy ya long pass.. Kwa timu kama Real Madrid tunahitaji ballers kila eneo na Matip pale defence ndio best baller....

But kwa Klopp usishangae akakomaa na Konate maana ana offer aerial threat kalk kuliko Matip.

YNWA
 
Huyu nafasi kaipoteza mwenyewe umesahau alikua hakosi mechi mpaka alivyo kuzunguuka na mpira hovyo.

Kumbuka hata Eliot alisha aminiwa kabla hajaumia

Foden alijaribiwa akajituma asaivi ni tegemeo
Hapana Mkuu huyu dogo hajawai kupewa nafasi kama Foden kingine ukumbuke Foden alikua understudy wa all time great David Silva na ndio maana Pep alivyoona ameiva kuaminika basi wakamwachia Silva na dogo hajawai rudi nyuma tena amekua bora kila msimu...
Jones sasa kabla hajaja Thiago imagine alikua understudy wa kwa kina Milner, Henderson nk haha hapo unategemea kweli awe level za Foden mh ngumu kabisa.
Dogo ana talent hilo lipo wazi. Huyu ni wale wachezaji ambao hua wanachelewa to kick start career zao in the right direction na Jones ana fall kwenye category ni slow learner.. Nina imani nae kwamba chini ya Klopp na akizid kusoma 1st hand experience kutoka kwa Thiago atakua bora.

YNWA
 
Habari wana kops wenzangu,Hv hz tetesi za Mbappe kuwa anataka kuja Liverpool zimekaaje wakuu??
Kuna updates nimeipata kuwa amekubali kwa laki 5 kwa week na pia ile ada yake ya usajiri amekubali pay cut ili atue Liverpool maana anaamini Klopp ni kocha sahihi wa kuendeleza kipaji chake.

Pia naomba kujuzwa Updates za Fabinho,VVD.
Mbappe ni aidha PSG asilimia 20, Real Madrid asilimia 70 na Liverpool ni asilimia 10 tu. Dogo mkwaja unaotajwa unatisha sana kwa mfano ile kukumbali kusaini tu Real Madrid wanampa £80m kama mkono wa asante kuwachagua wao, wakala wake hapo tegemea angalau £15m+ za kum convince awachague wao, ukija kwenye mshahara tetesi ni £450k kwa wiki na ma bonus ya ziada ya kutosha. Sasa ndugu kwa kweli hizo ndio namba zinazotajwa unadhani FSG wataonekana wapi hapo.

Fabinho, VVD na Salah watakuwepo fainali tarehe 28.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom