Mtu mzima kujisifia umebeba carabao kwapani ni fedhea ya Hali ya juu mnoUmedhibitisha wewe ni dhaifu mbele ya Madirid. Mwaka 2018 ulipigwa ..ukasema una Carius golini ..saivi una Allison na Madirid hii dhaifu amekukula.
Sisi Chelsea tungekuwa na experienced players Kama Modric, Kroos aise huu msimu mungetoka kapa.
FA na CARABAO makombe ya mbuzi.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna mchomo wa salah ali upangua, baada ya game salah analia, woiiiiiiihHa ha ha ...uyu Ni kipa na nusu[emoji28]
Kombe limeenda wapi mkuu.Wabovu wote hao,mnaongozaje goli 3 fainali,zinarudi zote kizembe?
Wametufunga lkn wamepata taabu hata nyie mmeona
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Quadraple ya makalio labda [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Haya ndo matatizo ya Kijiji kukosa wazee,Mzee haya mambo sometimes hua ni bahati tu
Mpira tumecheza haswa,tumeshambulia, tumekosa magoli sio kizembe ni bahati tu ilikua upande wao, sijaona mapungufu ya timu kwa ujumla
Madrid wamepata nafasi moja ikawa goli, sisi tumepata nafasi kibao ila hatukua na bahati ya kupata goli
[emoji1787][emoji1787]Liverpool kama baiskeli ya kunolea visu kelele nyingi lakini iko hapohapo
Ha ha ha....[emoji28][emoji28][emoji28]Liver wamekuwa bora sana msimu huu sikutegemea wangeishia kubeba kombe la MAPINDUZI
MATAHIRA YA EPL BHANA ETI HII KENGE IMEMALIZA BILA KOMBE LOLOTE ILA ANAMCHEKA LIVERNYETO MWENYE FA NA CARABAO.Bora mungekosa FA na CARABAO kuliko UEFA. Ninyi ni best looser
Utoto mwingi,Salah aliitaka Madrid, haya kapewa, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]
Na hapo Ramos vs Ronaldo hawapo. Woiiiiiiiih
Sahii kabisa,Binafsi naona hatukuwaheshimu Madrid hatukujifunza kwa PSG city na Chelsea kupitia timu hz klopp ilibid apate somo kwann timu zile ngumu zilitolewa na Madrid
Tumefunguka Sana huku wenzetu wakicheza kwa tahadhar kubwa
Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Sisajuaga kabisa unashabikia tim gani, maana Arsenal, Liverpool, Chelsea, Man city, Man u huwa unaziponda fulani hivi, mkuu au unashabikia Norwich? [emoji1787][emoji1787]Mtu mzima kujisifia umebeba carabao kwapani ni fedhea ya Hali ya juu mno
Chelsea FC ni mabingwa wa world club champions 2021/22 tena kachukua February mwaka huu huu, unateseka na nini tena ndugu [emoji848][emoji28]MATAHIRA YA EPL BHANA ETI HII KENGE IMEMALIZA BILA KOMBE LOLOTE ILA ANAMCHEKA LIVERNYETO MWENYE FA NA CARABAO.
HALLA MADRID.