Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
πππππππππ Mambo ni motooo sanaaaa Anfield.IMAGINE BEING THEM
YNWA
πππππππππ Mambo ni motooo sanaaaa Anfield.IMAGINE BEING THEM
Uzuri wa game za liverpool vs chelsea knockout stage or fainal huwa hazidissappoint, ni nije na me nakuja hivyo
Point 1 tu inahitajikaView attachment 2224726
Hali ya mambo ndio hii Chelsea akichapika mechi zake mbili za mwisho afahamu big 4 anaweza kuikosa.
Ya FA yameisha mjipange sasa kumaliza ligi kwa ushindi ama mkilegea tu hali tete
YNWA
View attachment 2224725
Mane bhana ndio nini kupiga penati ya chini vile na kuwapa uhai Chelsea. Hivi mlitazama benchi yao walivyoshangalia kwa shangwe Mendy kuokoa ile penati.
YNWA
Game uliiona lakini? Shida ilikuwa ni pale ambapo kuufungua ukuta wa Chelsea alafu wao walikuwa wanashambulia, ukizingatia wachezaji wetu wamechoka kulingana na race za EPL, EFL na FA unaweza kata tamaa, all in all tumebeba kombe let us enjoy.Boss unatatizo la kutazama mpira kwa kitu kama wataka hivi.
Nimejaribu kuangalia comments zako kwa kila mchezo lazima kwenye dakika hata 3 za mwanzo utasema tu kuwa tunaweza kufungwa.
Na tukitanguliwa goli moja ndiyo kabisa huwa unasema tayari tushafungwa
Jaribu kuangalia mpira kwa matumaini na kujiamini.
Asante.
Wengine ndio hao wanasema kombe ni bayaSasa nimeamini Livepool anachukiwa na wengi kwa kweli na Mungu anazidi kutufungulia Neema zake wenye chuki wanazidi kufula![]()

Ikiuma semaHuyu mColombia mwennzie ..Mimi chaMA langu Colombia Ila Diaz kakosea njia,, liverpool haikuwa timu sahihi kwake.
#CFCπππ
Game uliiona lakini? Shida ilikuwa ni pale ambapo kuufungua ukuta wa Chelsea alafu wao walikuwa wanashambulia, ukizingatia wachezaji wetu wamechoka kulingana na race za EPL, EFL na FA unaweza kata tamaa, all in all tumebeba kombe let us enjoy.
Tetesi ni kwamba Klopp aliwauliza wachezaji wenyewe kila mmoja aseme atapiga penati ya ngapi hawakupangiwa kwamba fulani apige ya kwanza au huyu apige ya 5 hapana mbali kila mmoja kwa kinywa chake alisema nipige ya 2 mara mwingine ya 7 nk...Nadhani muda mwengine tusiangalie Mafanikio ya Mtu mmoja mmoja bali tuangalie mafanikio ya Timu.
Since aliposajiliwa Liverpool Mane hajawahi kuwa mpigaji penalty mzuri na ndiyomana hata Timu ya Taifa anapewa na anazikosaga mara nyingi tu.
Hivyo ni wazi jana alipewa Penalty ya mwisho ili imboost kwenye kugombea Ballon D'or hatimae ikawa vice versa.
Muda mwengine tusirudie kosa.
Manchester City ni moja ya timu inaongoza kushinda mpira wa pili uwanjani popote pale haijalishi ni upande wenu au upande wao hapana jamaa wataku harass mpaka utaachia mpira na kwa vile wana quality ya kaunta na ballers lazima mateso yatokee. Mfumo wa Manchester City upo peke yake na wachezaji wa Pep anachojua wote ni workaholic kule hakuna pedestrians ni mbio dakika 90.Uzuri wa game za liverpool vs chelsea knockout stage or fainal huwa hazidissappoint, ni nije na me nakuja hivyo
Nashindwa kuelewa tukicheza na nyie huwa tunacheza mpira wa maana ila tukikutana na citu nikama tunaogopa vile
Mpiga penalty namba moja bado ni James Milner, Salah ni namba mbili. Milner akiwepo dimbani Salah hapigi penalty labda kama Milner atoe go on na sababu kubwa ni kiatu cha mfungaji bora EPL.Tetesi ni kwamba Klopp aliwauliza wachezaji wenyewe kila mmoja aseme atapiga penati ya ngapi hawakupangiwa kwamba fulani apige ya kwanza au huyu apige ya 5 hapana mbali kila mmoja kwa kinywa chake alisema nipige ya 2 mara mwingine ya 7 nk...
Kweli Mane hajawai kua mpigaji bora wa penati tangu ametua Liverpool sikumbuki hata kwenye mechi za kawaida kama aliwai pewa penati maana nakumbuka zamani ilikua Coutinho akaja Bobby akaja Milner na sasa ni Salah.
Hili Ballon tukomae zaidi kule Paris tuchomoke na ushindi na sioni wa kumzima kuikosa.
YNWA
Ni sawa ishu muda mwingi sasa babu Milner hayupo uwanjani na pia akiwepo sasa hua anamwachia Salah kama ulivyosema ishu za kiatu cha mfungaji bora.Mpiga penalty namba moja bado ni James Milner, Salah ni namba mbili. Milner akiwepo dimbani Salah hapigi penalty labda kama Milner atoe go on na sababu kubwa ni kiatu cha mfungaji bora EPL.
Kwa huko UCL Salah hayupo kwenye orodha ya wafungaji bora, ikitokea penalty na Milner yupo dimbani atapiga penalty Milner.
Na iwe hivyooooo.SHALLOM GUYS
Mungu wa Westham Mungu wa wagonga π¨ akawe upande wao
LFC β€οΈ