Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mechi ilikuwa ngumu ila nimefurahi tumeshinda. Kuna kitu nje ya mpira nimejifunza jana kujali muda, sherehe ya kufungua final ilikuwa nzuri kila kitu na kick off walisema 1845 Hrs na mimi binafsi kuona maandalizi yale nikaona hapa mechi itachelewa lakini 1845 exactly kick off watu wanaenda na muda well organized haya ni mambo ya kujifunza kwenye mpira na nje ya mpira. Bravo
 
Time is unbeatable, analeta dharau kwamba FA Cup mickey mouse wakati kwenye Ligi kuna Pep Guardiola, angekufa na historia ya kumfunga City tu
Angekufa pia na historia ya kubeba UEFA na Liverpool kitu ambacho Pep wako na City yake analala akiota kila siku, huku Arsenal yako haijawahi kulipata milele, mkuu.
 
Angekufa pia na historia ya kubeba UEFA na Liverpool kitu ambacho Pep wako na City yake analala akiota kila siku, huku Arsenal yako haijawahi kulipata milele, mkuu.
Pep alishachukua Uefa toka kipindi klopp yupo Mainz ila hakuwahi dharau taji lolote
 
Pep alishachukua Uefa toka kipindi klopp yupo Mainz ila hakuwahi dharau taji lolote
Refer kauli ya "PEP NA CITY YAKE." basi tuseme Pep anadharau UEFA kwasababu hajawahi kuishinda na City yake pamoja na pesa chungu nzima anazotumia.

Sisi tuliweka priorities bob, kwamba kombe la EPL na UEF ndo ilkuwa priority na ndo' maana uliona hata lineups kwenye hizo games ilikuwa ni za reserves. Sasa tushapata EPL na UEFA, why tusichukue na hizo zingine?

Tushachukua kila kombe hapo Uingereza na Duniani, kitu ambacho City kwake ni ndoto kama ilivyo kwa Arsenal, wakamleta na PEP lakini waaaapi!
Screenshot_20220515-105100.jpg
 
Time is unbeatable, analeta dharau kwamba FA Cup mickey mouse wakati kwenye Ligi kuna Pep Guardiola, angekufa na historia ya kumfunga City tu
Mkuu mbona unaongea kwa wivu na kwa hasira? Kwani wewe Arsenal mnataka kushindana na LFC nini, maana me nilitegemea Nyumbu ndio waumie na mataji anayochukua Lfc lakini imekuwa kinyume aise.
 
Baada ya Matip kuingia utulivu uliongezeka.

Keita amesha shindwa bora apandashwe Morton tu.

Jota si mchezaji mzuri ila ni mfungaji mzuri sana hivyo timu ikielemewa anakua mzigo

VVD yupo sharo sanaa upole au uvivu sijui too sloow anakera.

Kuumia kwa Salah kumeharibu ufundi nazani.

Mbele tuna wachezaji naona ingefaa Diaz anzie benchi kwa speed yake akikuta watu wesha choka ni rahisi kupata magoli.

Yule Tmikasi ni bonge la mchezaji bahati mbaya mwenye na mba anajitoa kwa ajili ya team sub ziongezwe tu wachezaji wa injoy.
 
Refer kauli ya "PEP NA CITY YAKE." basi tuseme Pep anadharau UEFA kwasababu hajawahi kuishinda na City yake pamoja na pesa chungu nzima anazotumia.

Sisi tuliweka priorities bob, kwamba kombe la EPL na UEF ndo ilkuwa priority na ndo' maana uliona hata lineups kwenye hizo games ilikuwa ni za reserves. Sasa tushapata EPL na UEFA, why tusichukue na hizo zingine?

Tushachukua kila kombe hapo Uingereza na Duniani, kitu ambacho City kwake ni ndoto kama ilivyo kwa Arsenal, wakamleta na PEP lakini waaaapi!
View attachment 2225308
Huwezi sema pep anadharau Uefa, last year kacheza final, this season amefika semis, Klopp alicheza na team B Carabao & FA, vipi leo? So EPL si prority kwa Klopp?
 
Mkuu mbona unaongea kwa wivu na kwa hasira? Kwani wewe Arsenal mnataka kushindana na LFC nini, maana me nilitegemea Nyumbu ndio waumie na mataji anayochukua Lfc lakini imekuwa kinyume aise.
I'm very relaxed dude, sina chuki, sina hasira, kocha wetu Klopp anacheza na full squad kwa vikombe alivyovidharau mwanzo, What's wrong bro?
 
I'm very relaxed dude, sina chuki, sina hasira, kocha wetu Klopp anacheza na full squad kwa vikombe alivyovidharau mwanzo, What's wrong bro?
Umeshaambiwa hizi cups hazikuwa piority kama EPL na UEFA kipindi cha nyuma ila baada ya kushinda Yale na kikosi kuimarika kwanini asiyape haya makombe piority sasa na msimu ujao hata akipanga U23 hatutamlaumu

Sent from my SM-A500H using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Matip kuingia utulivu uliongezeka.

Keita amesha shindwa bora apandashwe Morton tu.

Jota si mchezaji mzuri ila ni mfungaji mzuri sana hivyo timu ikielemewa anakua mzigo

VVD yupo sharo sanaa upole au uvivu sijui too sloow anakera.

Kuumia kwa Salah kumeharibu ufundi nazani.

Mbele tuna wachezaji naona ingefaa Diaz anzie benchi kwa speed yake akikuta watu wesha choka ni rahisi kupata magoli.

Yule Tmikasi ni bonge la mchezaji bahati mbaya mwenye na mba anajitoa kwa ajili ya team sub ziongezwe tu wachezaji wa injoy.
Msimu ujao sub ni 5 hilo limeshapitishwa...

Diaz aanze muda wote 😂😂atupe burudani maana dogo ana mapafu ya jaguar...

VVD form yake tangu mwaka upinduke ndio hii hii kuna mechi unaona kabisa anazidiwa lakini akiwepo ana wafanya wanaocheza nae kua bora pia ni threat kuzuia set pieces na ni threat kufunga...

Keita itakua kosa kubwa kama atabaki Liverpool msimu ujao hana jipya analoleta atacheza gemu moja vzuri gemu 5 mbele anakua yule yule..

Jota ni target man na jana Trent alizimwa muda mrefu kutupanda na Alonso.. Ukitaka kuona ubora wa Jota lazima mipira itue miguuni au kichwani kwake..

Tsimikas kuna tetesi Juventus wanamtazama walete ofa lakini hatuna mpango wa kuuza

Klopp ndio usajili bora baada ya Dalglish era.

YNWA
 
Tetesi ni kwamba Klopp aliwauliza wachezaji wenyewe kila mmoja aseme atapiga penati ya ngapi hawakupangiwa kwamba fulani apige ya kwanza au huyu apige ya 5 hapana mbali kila mmoja kwa kinywa chake alisema nipige ya 2 mara mwingine ya 7 nk...

Kweli Mane hajawai kua mpigaji bora wa penati tangu ametua Liverpool sikumbuki hata kwenye mechi za kawaida kama aliwai pewa penati maana nakumbuka zamani ilikua Coutinho akaja Bobby akaja Milner na sasa ni Salah.

Hili Ballon tukomae zaidi kule Paris tuchomoke na ushindi na sioni wa kumzima kuikosa.

YNWA
After Salah mpiga penalty mwingne wa team ni Fabinho
 
Wembley is in love with Liverpool 😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😎

YNWA
 
😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛😛💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃💃

Tupo hatupoiiiiiiiii. Twice Chelsea wamepigika fainali kibishi mno. Twice is sweeter🔥🔥🔥🔥

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom