Samwel Jr
JF-Expert Member
- May 9, 2020
- 1,362
- 960
Hawa Westham ndo walitufunga msimu huu wasituangushe leo daahNa iwe hivyooooo.
Gemu za wekedi hii EPL.
Gemu yetu ni Jumanne ugenini St Marys
View attachment 2225098
YNWA
Hawa Westham ndo walitufunga msimu huu wasituangushe leo daahNa iwe hivyooooo.
Gemu za wekedi hii EPL.
Gemu yetu ni Jumanne ugenini St Marys
View attachment 2225098
YNWA
Madrid ndio nani, sisi tunapiga wote kuanzia mdogo mpk mkubwa.😂😂Sasa kama timu mbovu inawaenyesha kiasi hichi hao Madrid si mtatia huruma sana?
Klopp amesema amechangia Mane kukosa penati coz alimwambia abadili upigaji sababu mendy anamjua kiundani Mane.Tetesi ni kwamba Klopp aliwauliza wachezaji wenyewe kila mmoja aseme atapiga penati ya ngapi hawakupangiwa kwamba fulani apige ya kwanza au huyu apige ya 5 hapana mbali kila mmoja kwa kinywa chake alisema nipige ya 2 mara mwingine ya 7 nk...
Kweli Mane hajawai kua mpigaji bora wa penati tangu ametua Liverpool sikumbuki hata kwenye mechi za kawaida kama aliwai pewa penati maana nakumbuka zamani ilikua Coutinho akaja Bobby akaja Milner na sasa ni Salah.
Hili Ballon tukomae zaidi kule Paris tuchomoke na ushindi na sioni wa kumzima kuikosa.
YNWA
Angalau Tsimikas alifanya kweli na limetua Anfield..Klopp amesema amechangia Mane kukosa penati coz alimwambia abadili upigaji sababu mendy anamjua kiundani Mane.
Nadhan Klop angemwacha Mane awe Mane tu na yeye kakili kuwa angemwacha apige tu
Boss in case hukujua kuna kampuni ya Neuroscientist wa kijerumani ndio inafundisha wachezaji wa liverpool kuondoa presha ya penalty.Ni timu ya watu wanne,wataalam haswa ndio imewapika wachezaji.Ushindi wa jana Klopp ameuelekeza kwao.Sasa hivi Liverpool imekuwa na Wapigaji Matuta hatari sana Yani huwezi kuamini! Hivyo tukifika Matuta na Real Madrid Sina wasiwasi kabisa.
Imagine na jana tulikuwa na Matuta yetu Matatu ya uhakika yapo jukwaani, SALAH, FABINHO na ORIGI.
Uwanjani kuna:-
Milner
Thiago
TAA
Jota
Firmino
Tsimikas