Fundi Mgumu
Member
- May 7, 2022
- 92
- 53
Ulikua mwak wa Quadruple
Hatuachi hata moja, kesho mtupishe, mtuachie kombe letuHayo ndio makombe ya kiume Sasa ,sio mnatupigia kelele na mabirika![]()
Mbona umelikosaNikiangalia hili kombe la FA napata kichefuchefu kudadeki ,halina hadhi kabisa takataka ....hivi hili ni kombe la kushangilia kombe limekaa kama birika





Tusipo kuwa makini tunapigwa
Jamaa huyu pamoja na liverpool kukamilika msimu huu bado anaangalia mpira kwa presha kubwa. Watu siku hizi kwenye vibanda umiza wanaogopa Kubishana na sisi wana liverpoolBoss unatatizo la kutazama mpira kwa kitu kama wataka hivi.
Nimejaribu kuangalia comments zako kwa kila mchezo lazima kwenye dakika hata 3 za mwanzo utasema tu kuwa tunaweza kufungwa.
Na tukitanguliwa goli moja ndiyo kabisa huwa unasema tayari tushafungwa
Jaribu kuangalia mpira kwa matumaini na kujiamini.
Asante.
Ww tangu timu yako inaanzishwa ulikuwa na akili timamuSijawahi kuona Rent Boy mwenye akili hata siku moja.
Timu haianzishwi 2005 ikapata watu wenye akili.
Klopp mtu mbad ehh? Pole mumie
Taja kombe ambalo Klopp hajawai shinda au umemfananisha na WengerKlopp muda unaenda vikombe hana, so siku hizi inabidi ashangilie hata FA & Carabao. #Fvck pep.
Boss unatatizo la kutazama mpira kwa kitu kama wataka hivi.
Nimejaribu kuangalia comments zako kwa kila mchezo lazima kwenye dakika hata 3 za mwanzo utasema tu kuwa tunaweza kufungwa.
Na tukitanguliwa goli moja ndiyo kabisa huwa unasema tayari tushafungwa
Jaribu kuangalia mpira kwa matumaini na kujiamini.
Asante.
, apanic haraka sana.ile mechi na Villarreal alikata tamaa mapema tumeshafungwa huku.mpira dak 90,Ulisoma mpaka mwisho?Mshabiki wa Liverpool hawezi kuwa na Mindset hii
Jamaa huyu pamoja na liverpool kukamilika msimu huu bado anaangalia mpira kwa presha kubwa. Watu siku hizi kwenye vibanda umiza wanaogopa Kubishana na sisi wana liverpool