, apanic haraka sana.ile mechi na Villarreal alikata tamaa mapema tumeshafungwa huku.mpira dak 90,
Tukifungwa goli lolote lile anakuwa na wasiwasi kwamba tunafungwa.
Time is unbeatable, analeta dharau kwamba FA Cup mickey mouse wakati kwenye Ligi kuna Pep Guardiola, angekufa na historia ya kumfunga City tuPole ndugu maana timu yako haionekani kubeba chochote hata hapo mbeleni. Yani chochote
Sina chuki na Klopp ila nilikuwa nashangaa sana anavyopanga team B kwenye FA & Carabao, mambo yamekuwa magumu muda unaenda so anafake paka Covid test ili acheze na full squad.Ama kweli walimwengu hamna dogo, hata sasa sisi ni mabingwa.

TAA leo tuseme didn't put the wrong foot to hurt the team...Wakuu tu nashukuru tumebeba. Sasa nilikuwa naomba uchambuzi wenu kuhusu performance ya Konate na TAA
Captain Marvelous
Rajab Omar_ na wengineo