Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,253
Tungewachapa mapema sana City.Wapumbavu wakubwa nyie mmetupotezea muda final ilistahili iwe Manchester City vs Liverpool Fuc**
Bora hata wenzenu wametuhangaisha tukaenda kwenye mikwaju.
Tungewachapa mapema sana City.Wapumbavu wakubwa nyie mmetupotezea muda final ilistahili iwe Manchester City vs Liverpool Fuc**
Mkuu poleni sana leo angalau gemu ime balance na refa hakua amekua na gemu safi sanaaa. Ana stahili pongezi zake.Kwa kweli is Red

Akili kama ya Klopp mtaitoa wapi sasa...?Nyie FSG muna ela za kuunga unga inaonekana kabisa![]()
Adi arse8 wanawapita aise ..
Tukafanya usajili wa akili Kama Klopp Basi jua tutawasha Moto hapo msimu ujao Hadi kieleweke Yani.