OllaChuga Oc amesema matokeo yatakavyokua yupo tayari kuyapokea.. Na ndio ukweli maana upepo umekata mida mimbaya sana... Hawa wachezaji woye sio machines..
Japo naona fitness inatofautiana sana.. Kwa mfano mpaka ligi inaisha Rudiger atakua ndio mchezaji aliecheza dakika nyingi sana UK mashindano yote lakini dogo ukimtazama utaona ana amsha amsha kama vile ligi mpya..
Ngoja tuone ndugu namna gani pale kati mwalimu atapanga... Tuna rekodi nzuri sana ya ushindi mwingi msimu huu alivyo cheza HM Henderson
Tazama 👇 👇
View attachment 2224304
Kazi ipo.
YNWA