NO04
JF-Expert Member
- Jun 29, 2015
- 1,754
- 1,246
Mashabiki wenye akili timamu wako Kama hivi! Kuna wengine huwa mahaba yanawazidi wanaenda nje ya uhalisia.Duuh Mkuu hii gemu kila nikikumbuka mechi zangu za hivi karibuni naishiwa pozi maana matokeo tumeyapata kwa shinda sana..
Mpaka sasa hii gemu ipo wazi sana.. Chelsea mechi mbili za mwisho Lukaku ameonyesha uhai fulani hapo ndio kocha atapata changamoto akomae na dogo wa big games Kai ama Lukaku au wecheze wote itakua hatari sana...
MF endapo Kante na Mateo wapo fit hii game basi tutateseka sana kwa kuwa Fabinho hayupo upande wetu..
Sioni Thomas akikumbali na vijana wake wapigwe Wembley mara ya tatu (vs Leicester FA, vs Liverpool Carabao na leo tena vs Liverpool FA) naona mapambano yatakua makali sana.
Nipo tayari kwa matokeo yoyote ndugu yangu.
YNWA
Binafsi nami hii game naipa 50/50.
Damu kabisa ila game ya leo sidhani kama tutashinda 