Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kwa kitambo Simon humu majujumu tu. Hope all of you are doing better.

Kushindwa kuzifunga hizi timu Anfield ndicho chanzo Cha kuukosa ubingwa:

1. City tuligawana point.
2. Chelsea tuligawana point.
3. Brentford tuligawana point.
4. Brighton tuligawana point.
5. Spurs tuligawana point.

We need more signings,
Kiungo mkabaji
Kiungo mchezeshaji
Another winger
ST mwenye uwezo wa kupiga false 9 kwa kiwango Cha Bobby Cha 2017-2020.

Kuna wakuuzwa Kama
Divock sioni akibaki
Chamberlain sioni akibaki
Milner kustaafu/kuondoka
Hendo too old kwenye system ya klopp kucheza week in week out kwa ubora,
Keita not good enough,
Fabby Thiago wingi wa mechi utawachosha and probably kuwaleta injuries za kujirudia rudia.

Klopp apewe fungu spare 3-4 players anaowataka, all in all congrats to the gaffer he has done alot these season.
Diaz kaongeza kitu kikubwa Sana,
Full fit Matip and Thiago it is bull booster to JK

Let's enjoy football, with it's things.
YNWA.
Best of luck to us. God bless you all
See You Next God Willing.
Liverpool mpo vizuri sana na isingekuwepo City ya Pep mngebeba ubingwa mara nyingi tu kwa kipindi hiki cha Klopp. Tatizo ni Pep ndo amekuwa mwiba kwenu. Kwa standard alizoweka kwa kushinda mechi nyingi sana lazima timu nyingine zikate upepo kidogo. Pep kageuza EPL imeonekana ligi nyepesi sana maana timu zinapigigika vibaya mno.
 
Mashabiki wa liverfool wanamchukia Pep kwa masilahi yao binafsi maana Pep amekua ni kikwazo kikubwa kwao kwenye Epl.
 
Mashabiki wa liverfool wanamchukia Pep kwa masilahi yao binafsi maana Pep amekua ni kikwazo kikubwa kwao kwenye Epl.
EPL tumeshabeba na huyo huyo PEP akiwepo hapo England wala hatumchukii ila ukweli unabaki PEP akuletwa England kushinda makombe ya ndani tu kukosa UEFA itaendelea kuwa failure kwake
 
De bruyne anawainamisha huko, anawakojolea tyuuh.
Kwamba man shity alikuwa anacheza na liverpool leo. Mimi nakumbuka Mara ya mwisho mwacity alipigwa 3 nusu fainali FA , Sasa sijui hao unawaoongelea ni wakina nani
 
Kwamba man shity alikuwa anacheza na liverpool leo. Mimi nakumbuka Mara ya mwisho mwacity alipigwa 3 nusu fainali FA , Sasa sijui hao unawaoongelea ni wakina nani
mkombozi wenu Wolves amewapa habari?
 
Liverpool mpo vizuri sana na isingekuwepo City ya Pep mngebeba ubingwa mara nyingi tu kwa kipindi hiki cha Klopp. Tatizo ni Pep ndo amekuwa mwiba kwenu. Kwa standard alizoweka kwa kushinda mechi nyingi sana lazima timu nyingine zikate upepo kidogo. Pep kageuza EPL imeonekana ligi nyepesi sana maana timu zinapigigika vibaya mno.
team zinapigika tyuuh.
 
Mambo vip wanna ..Yale makombe yetu manner tutayapata kweli?
Shape za makombee manne
IMG_20220512_043253_201.jpg
 
Kwamba man shity alikuwa anacheza na liverpool leo. Mimi nakumbuka Mara ya mwisho mwacity alipigwa 3 nusu fainali FA , Sasa sijui hao unawaoongelea ni wakina nani
Kuwa muungwana kwenye michezo unaifunga city 3-2 ederson ,monster KDB,diaz ,stones ,cancelo,benarldo wote hawapo kikosi cha kwanza .Fikiri ingekuwa ingekuwa liverpool haina hao wachezaji ingekuwaje.Itoshe kusema mnayo bahati kubwa kutokutana na city champions league final na wachezaji wenu wanafuraha sana maana city kwenu kwa sasa ni gunia la misumari .
 
Liverpool mpo vizuri sana na isingekuwepo City ya Pep mngebeba ubingwa mara nyingi tu kwa kipindi hiki cha Klopp. Tatizo ni Pep ndo amekuwa mwiba kwenu. Kwa standard alizoweka kwa kushinda mechi nyingi sana lazima timu nyingine zikate upepo kidogo. Pep kageuza EPL imeonekana ligi nyepesi sana maana timu zinapigigika vibaya mno.
.
JamiiForums-1097022997.jpg
 
Kuwa muungwana kwenye michezo unaifunga city 3-2 ederson ,monster KDB,diaz ,stones ,cancelo,benarldo wote hawapo kikosi cha kwanza .Fikiri ingekuwa ingekuwa liverpool haina hao wachezaji ingekuwaje.Itoshe kusema mnayo bahati kubwa kutokutana na city champions league final na wachezaji wenu wanafuraha sana maana city kwenu kwa sasa ni gunia la misumari .
Pep angekuwa serious na FA,asingepanga kile kikosi aisee.Sema aliipania Sana UCL mambo ndo hivyo yakawa tofauti.
Lakini licha ya kikosi kile kilicho cheza, Liverpool aliomba mpira uishe mapema kipindi Cha pili.Maana siyo Kwa moto ulee walio peleka Man city kipindi Cha pili. Kama shabiki WA Liverpool lazima usiamini amini kama umeshinda mbele ya city Kwa mechi inayo hitaji mshindi.
 
Mlisema Newcastle wako vzuri watawazuia city wakala chuma 5-0

Oooh wanakutana na Leeds ambayo iko moto ,atawazuia kala chuma 4-0

Mara ,wolves hawezi kumuacha man city ,lazima wolves amfunge city kapigwa 5-1 .,...

Tunakuja kwa huyo westham Tena , endeleeni kuomba hivo hivo ni mwendo wa kutoa vipigo tu
Yaani hapo imebakia kushinda tu mechi moja tu hiyo ya westham kutangaza ubingwa maana hata tukiwaachia Aston Villa mechi ya mwisho Liverpool hawezi kupindua goal difference ya magoli saba.
 
Ni muhimu kuweka akiba ya maneno. Kushinda makombe manne sio kitu rahisi kama mnavyofikiri. Hata kama timu iko vizuri kiasi gani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom