Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Imagine being fool
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Kuku ni kuku tu jogoo jina.
Ligi inaisha without PL wala CL, wameambulia kupata Carabao labda na hio FA.
Sawa, ngoja sisi tusubili mechi zote ziishe tujue mshindi nani, wewe mwenye matokeo yako mfukoni, endelea kujifariji🤣
 
Kuna member Tena shabiki wa liverpool mwenye akili timamu ,ana mke na watoto kabisa ,Tena mtaani anaheshimika ,anaitwa baba akiwa nyumbani alisema "Steven Gerrard atatuachia point 3 ili tuchukue ubingwa mbele ya City harafu Aston villa atahakikisha anamfunga city game ya mwisho " huyo jamaa huwa nikimwangalia huwa Kuna namna nahisi dish limeyumba au atakuwa anachet cha milembe kutoka dodoma
 
Dunia yote ya wapenda mpira ilifikiri liver atamstopisha Spurs.

Spurs itabidi tumdhibiti sisi wenyewe.
 
Kwa sasa ili tuchukue Epl nilazima Pep apigwe game moja au apate game 2 nani kitu kisicho wezekana, nilikuwa naona kwa game zifuatazo tukubali kupoteza game hata moja ambapo tupumzishe wachezaji aisee wamechoka na game vs Aston Villa watumike ili tupambanie FA na UCL tu maana Ramli hazihitaniki ktk football. Tukiendelea kukomaa na Epl aisee for sure tutapoteza FA na UCL kwa pamoja.
 
Binafsi wake sometimes unaicost team, sehemu ya kupress tu kwa mwenzake aliyeko kwenye position nzuri yeye anabutua njeeeee.

Kuna muda mpaka Mane alikuwa anamwonyesha kanisa wapi kwa kupass lakini jamaa akawa mkaidi.

We should have killed this game at FH, wakati Spurs walipokuwa with tension kubwa kuliko kusubiria miracle.

All in all,

Still long unbeaten

Well done Boys

You Will Never Walk Alone.

Huyu huyu Salah, Malaika wenu aliyewapa magoli mengi ndiyo leo kawa mbaya? Ama kweli binadamu hata umtendee mazuri kiasi gani ipo siku atasahau yote mema aliyotendewa.
 
Kwa sasa ili tuchukue Epl nilazima Pep apigwe game moja au apate game 2 nani kitu kisicho wezekana, nilikuwa naona kwa game zifuatazo tukubali kupoteza game hata moja ambapo tupumzishe wachezaji aisee wamechoka na game vs Aston Villa watumike ili tupambanie FA na UCL tu maana Ramli hazihitaniki ktk football. Tukiendelea kukomaa na Epl aisee for sure tutapoteza FA na UCL kwa pamoja.

Mkuu baada ya game ya jana ndiyo umefanya tathmini na conclusion hii?
Kwa tumeanza lini kuiunderestimate Spurs as a midtable team?
 
Dunia yote ya wapenda mpira ilifikiri liver atamstopisha Spurs.

Spurs itabidi tumdhibiti sisi wenyewe.

Spurs kudrop 2 points kwenye possible 3 ni kastopishwa na Liverpool

Liverpool kudrop 2 points kwenye possible 3 ni kastopishwa na Spurs

Hiyo ni lose-lose situation

Wengi wanaangalia Spurs kamstopisha Liverpool, but waliosahihi ni wale tu ambao ushindi wa Liverpool ni disadvantage kwao.

But wale ambao ushindi wa Spurs ni disadvantage kwao kwanini wasihisi Liverpool amemstopisha Spurs while amedrop 2 points?
 
Hesabu zetu zilitaka tukutane na spurs huku gape la points ni 5.

I hope umeona logic.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom