Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Diaz na Thiago ni habari nyingine kabisa.

YNWA
 
Ubaguzi tu, since akiwa Barcelona. Kumbuka ndiye aliyemuuza Toure.
According to Toure ishu ni kama vile Pep hakuwapenda wachezaji wenye asili ya ki Africa hivyo kumpelekea Toure kukwaruzana nae mpaka kufikia Ethad kutompa mkataba huku bado akiwa na kiwango kizuri tu.

Toure alisema shinda ilianzia pale Barcelona kwa Pep kuwatenga Eto, Deco, Toure, Gaucho nk na mwishowe wote waliodoka. Kingine ni kwamba kwa vile Pep hakua straika enzi za uchezaji wake hao wachezaji walikua wanamdharau kama vile hana cha kuwapa pale mbele hivyo wakawa wanapinga baadhi ya mbinu zake wazi wazi jambo ambalo kwa Pep haiwezekani zaidi ya kuuzwa tu na hao wote waliuzwa na Toure hapo aliuzwa shingo upande hakutaka kuodoka Barcelona hivyo aliodoka na kinyongo.
Mara pap Pep akatua Ethad akakuta Yaya ana influence kubwa sana na Pep ifahamike sio wale makocha design ya Klopp, Fergie nk ambao ni wazuri on one on one situation ku wa handle wachezaji to the letter. Pep yeye hua ni team work bila kuulizwa maswali na kufuata tactics zake na ikishidikana basi anauza huyo mchezaji ama kum bench yule ambae anaona anamchelewesha kufikia ubora. Pep haoni tatizo kuwaudhi wachache kwa kusaka makombe hilo amefanikiwa sana huku pia akikwaruzana na Eto, Zlatan, Toure, Aguero, Jesus, Deco nk

Pazuri mwaka jana Toure ameomba radhi kwa Pep na kwa Manchester City kwa kumuita mbaguzi na kuomba aonane na Pep lakini mpaka sasa Pep hajajibu wala hajaonyesha nia ya kuonana na Toure labda sasa baada ya kipigo cha Real Madrid atamsaka Toure wayamalize maana sioni akipata hio UCL πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

YNWA
Aiseee
 
Adjustments.jpg
 
According to Toure ishu ni kama vile Pep hakuwapenda wachezaji wenye asili ya ki Africa hivyo kumpelekea Toure kukwaruzana nae mpaka kufikia Ethad kutompa mkataba huku bado akiwa na kiwango kizuri tu.

Toure alisema shinda ilianzia pale Barcelona kwa Pep kuwatenga Eto, Deco, Toure, Gaucho nk na mwishowe wote waliodoka. Kingine ni kwamba kwa vile Pep hakua straika enzi za uchezaji wake hao wachezaji walikua wanamdharau kama vile hana cha kuwapa pale mbele hivyo wakawa wanapinga baadhi ya mbinu zake wazi wazi jambo ambalo kwa Pep haiwezekani zaidi ya kuuzwa tu na hao wote waliuzwa na Toure hapo aliuzwa shingo upande hakutaka kuodoka Barcelona hivyo aliodoka na kinyongo.
Mara pap Pep akatua Ethad akakuta Yaya ana influence kubwa sana na Pep ifahamike sio wale makocha design ya Klopp, Fergie nk ambao ni wazuri on one on one situation ku wa handle wachezaji to the letter. Pep yeye hua ni team work bila kuulizwa maswali na kufuata tactics zake na ikishidikana basi anauza huyo mchezaji ama kum bench yule ambae anaona anamchelewesha kufikia ubora. Pep haoni tatizo kuwaudhi wachache kwa kusaka makombe hilo amefanikiwa sana huku pia akikwaruzana na Eto, Zlatan, Toure, Aguero, Jesus, Deco nk

Pazuri mwaka jana Toure ameomba radhi kwa Pep na kwa Manchester City kwa kumuita mbaguzi na kuomba aonane na Pep lakini mpaka sasa Pep hajajibu wala hajaonyesha nia ya kuonana na Toure labda sasa baada ya kipigo cha Real Madrid atamsaka Toure wayamalize maana sioni akipata hio UCL

YNWA
ifike mahali kijana ujitambue na uwe na akili ,yaani the boss wetu pep guradiloa awapigie magoti sijui huyo kikaragosi wa Yaya hivi unatuonaje mzee ...!

Kiufupi sisi hatuamini katika huo ujinga ,hapa ni kuvunja kibubu kuchukua Β£300million na kuleta striker kama halaand,&DM kureplace frenandihno then tunaendeleza moto epl ...!

Kuhusu CL ni swala la muda tu , hatupangi sis muda wa kuchukua Hilo kombe
 
Kikosi chako kilikuwa na:-
1) Vicent Company
2) Fernandinyo
3) David Silva
4) Aguero
Jumlisha na baadhi ya hawa waliopo pia ukashindwa kubeba UCL.

Wanaofuata kukimbiwa na Umri na uwezo kuaza kushuka.
1) Walker
2) KDB
3) Sterling
4) Bernardo

Sasa hapo mzee baba unajipa matumaini lini hiyo CL itakuja wenyewe?
Hao wameitese Sana epl mpaka pep akasema ni league nyepesi Sana kama unavuka barabara...na Kuna talent nyingine zinakuja kuwin CL come down ...!
 
Kuanzia sasa atakua na maneno ya akiba zile bwebwe zote zimeisha jana.

Uefa ina wenyewe wa jipange tena msimu ujao.

YNWA
Kila msimu wajipange wanachokosa ni uzoefu na hawazijui figisu za UCL hawajui kabisa angalia hata MADRID walivyocheza hawakuwa na Papara nyingi wao walitumia nguvu nyingi mno

Hata Game yetu villa walijisahau kuwa hamna comeback inayofanywa ndani ya dk45 comeback hufanyika ndani ya dk90 wakaambulia kipigo kikali

Kingine walichokosa ni uzoefu tumewaadhibu kwa uzoefu wetu

Ukiangalia hata klop anavocheza UCL anacheza kizoefu kabisa hana Papara anafanya kazi yake kwa furaha sana

Madrid wajipange sana
 
Tutarajie msimu ujao Pep kumwaga kama paund 300m hivi maana si kwa hasira atakazokua nazo
 
Nikiangalia Vijana ambao waliangaliwa kama ni Hazina ya baadae πŸ‘‡

Solanke
Brewster
Harry Wilson
Danny Ings
Woodburn
Bobby Duncan
Hakuna hata mmoja kati ya hao tulioiona potential yake ambayo tulitegemea, hivyo siamini sana katika Vijana hawa wa Great Britain kwenye hizi Timu kubwa.

Kuhusu hawa Jones na Elliot ni swala la Muda tu kuondoshwa Liverpool, sijaamini kama watakuwa kwenye Project ya Liverpool.

Nikiangalia kwenye uwekezaji wa Vijana Van Den Berg na wengine hakuna hata mmoja tuliyefanikiwa! Hivyo siamini katika uwekezaji wa kununua Vijana bali hii ilikuwa ni Mkakati wa Kibiashara tu wa kununua na kuuza.
 
Jumamosi nyingine saafi
Tunaenda kukutana na Spurs ya Conte , haijalishi kama walishindwa kuchukua point 3 kwa akina morton, milner na jones basi leo wajiandae kwa kipigo.

Y.N.W.A
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom