Dp800
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 2,290
- 4,633
Punguza stress mkuuHuwezi chukua CL kwa kupita njia za Europa league ,unawafunga villareal et CL![]()
Punguza stress mkuuHuwezi chukua CL kwa kupita njia za Europa league ,unawafunga villareal et CL![]()








Leo mnataka dua. Siku chache zilizopita mlisema hamumtegemei city ateleze ndipo muwe mabingwa. Sasa mmerudi kwenye ramli. Mpeni hizo salamu za ramli King Ngwaba au Rajabu
Kuku ni kuku tu jogoo jina.Imagine being liverfool.
Leo naona kuanzia mwanzo tulikuwa slow sana kipindi cha kwanza,halafu robertson amechoka Aisee hasiwe anaanza maana one against one anakaba sana kwa macho.
Timu iko vizuri,kinachotakiwa kuongeza uharaka hasa kwenye timu inayokaa nyuma.
Diaz hakuwa na speed sana na tulikuwa tunapooza sana mipira kwenye kipindi cha kwanza,ilitakiwa tuwetunawakimbizA sana ilikupata nafasi hasa wanapoenda kishambulia.lakini tukawa tunapaka mpira rangi sana mpaka wanakuja kuziba nafasi.
Timu iko vizuri.
Hongera yako wewe uliyepigwa goli mbili ndani ya dk1, tumefunga timu za spain zote tulizokutana nazo tena tumepiga nje ndaniHuwezi chukua CL kwa kupita njia za Europa league ,unawafunga villareal et CL![]()
2018 wakati bale anakunyonyoa na karius wenu ulikuwa wapi ?Hongera yako wewe uliyepigwa goli mbili ndani ya dk1, tumefunga timu za spain zote tulizokutana nazo tena tumepiga nje ndani
Nyie hampo EPL?😅Message sent
Hii point ya leo inaweza ikawa ya muhimu kuliko tunavyofikiria. Tusubiri game ya 38 ukweli utajulikana
Shida ya Watu kukaa kwenye TV wakiwa na matokeo yao Mfukoni madhara yake ndiyo haya kuanza kulialia na Salah.
Aston Villa jumanne nao pia wanajambo lao.Mimi naona tuwe tunapiga na mashuti golini sio mpaka tuwetunabaki na kipa ndio tufunge leo iwe sehemu ya kujifunza.
Aston Villa jumanne nao pia wanajambo lao.
Wanasema mwendo utakua ni uleule kama Spurs.
Kuna member Tena shabiki wa liverpool mwenye akili timamu ,ana mke na watoto kabisa ,Tena mtaani anaheshimika ,anaitwa baba akiwa nyumbani alisema "Steven Gerrard atatuachia point 3 ili tuchukue ubingwa mbele ya City harafu Aston villa atahakikisha anamfunga city game ya mwisho "Aston Villa jumanne nao pia wanajambo lao.
Wanasema mwendo utakua ni uleule kama Spurs.





huyo jamaa huwa nikimwangalia huwa Kuna namna nahisi dish limeyumba au atakuwa anachet cha milembe kutoka dodoma 

