Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia

ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
Wewe utakuwa shabiki wa manshity
 
Mkuu achana na pep ,sio poa imagine madogo kama zincheko,foden ,stone ,ake ,anawapambanisha kwa miamba na majiba kama kina carvajal ,modric ,casemiro ,benzema na wanadominate game na kucontrol mchezo anaonesha kuwa mpira sio nguvu ni akili na team work kitu ambacho watu wengi hawajaelewa ..!

inafika hatua dunia inasema man city ni team ya watoto , watafute wazee na wakongwe ,lakin ball lake sio mchezo

Respect to pep ...!
 
huo mpira wa Guardiola ndio boaring sasa kama uliku hufaham mpira wa kisasa is about transions na fast attacks city wana beautify lakn ikiwa slow haina ladha am not liverpool fan lakin naichukia lakin na admire sana the way wana play jana nimeinjoy soccer very professional yaan wana wachezaji kama wana gundi mguuni fast passes na mtu apotezi kizembe technically wako poa sana
 
What is tech ical secured? Kila mchezaji his not technically secured. That is nonses.
Spurs walichwza ile typical Conte style. Compact defense and counter attach. Any team ikichezewa hivyo with minimal ondividual errors opponent lazima wawe vulnerable. It is simple as that. Hata hao alina Mane na Salah uchezaji wao mbovu ni tunda la compact defense
Sijui kama unaelewa nachosema,

Timu yoyote inakuwa na wachezaji wa aina mbili, Physicality & Technicality.

Thiago & Taa wanaingia kwenye kundi la wachezaji ambao ni technicians, yaani haijalishi yupo mazingira gani akipiga mpira mara kumi basi tisa itafika ilipokusudiwa, so walikuwa inconsistent, they were not reliable on ball.

Kama mchezaji ana time & space still anamisplace pass unawezaje kusema sababu ni compact block ?
 
huo mpira wa Guardiola ndio boaring sasa kama uliku hufaham mpira wa kisasa is about transions na fast attacks city wana beautify lakn ikiwa slow haina ladha am not liverpool fan lakin naichukia lakin na admire sana the way wana play jana nimeinjoy soccer very professional yaan wana wachezaji kama wana gundi mguuni fast passes na mtu apotezi kizembe technically wako poa sana
apo ndio utajua binadamu tumegawanyika na mlikuwa mshachapwa
 
tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia

ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua
We ni Arsenal sio?
 
Mkuu achana na pep ,sio poa imagine madogo kama zincheko,foden ,stone ,ake ,anawapambanisha kwa miamba na majiba kama kina carvajal ,modric ,casemiro ,benzema na wanadominate game na kucontrol mchezo anaonesha kuwa mpira sio nguvu ni akili na team work kitu ambacho watu wengi hawajaelewa ..!

inafika hatua dunia inasema man city ni team ya watoto , watafute wazee na wakongwe ,lakin ball lake sio mchezo

Respect to pep ...!
pep upo shida iko kule 11 kipindi sane upo city spidi tuliitumia kutengeneza chanve nying sana chengine k8zur pep apendi mabaunsa anataka wachezaji wepesi wanaoweza kuhama kila wanapotoa pasi
 
Hivi hawa mbwiga mkuu huwa hawana jukwaa la kwao? Mbona wanakuja kujaa huku utafikri la kwao? Huyu jamaa anaudhi mkuu!

Kiongozi ni kawaida kwa Washabiki wa Timu tofauti kutembeleana na kufanyiana utani wa hapa na pale.
Unapokosa matokeo unayoyataka ni kawaida kwa opponents wako kukuekea kambi na kukufanyia bunter na Trolls za kutosha tu na huwa tunafurahia.
 
Mkuu achana na pep ,sio poa imagine madogo kama zincheko,foden ,stone ,ake ,anawapambanisha kwa miamba na majiba kama kina carvajal ,modric ,casemiro ,benzema na wanadominate game na kucontrol mchezo anaonesha kuwa mpira sio nguvu ni akili na team work kitu ambacho watu wengi hawajaelewa ..!

inafika hatua dunia inasema man city ni team ya watoto , watafute wazee na wakongwe ,lakin ball lake sio mchezo

Respect to pep ...!
Hivi dam changa umpambanishe na wazee? Wewe sijui ushabiki wako uko wapi , haya sasa hao kina Foden walifunga goli ngapi?
 
tuachane na ushabiki liverpool wanacheza soka la zaman krosi za kipumbavu kibao yaan whole match krosi na gonga za kuzugia

ebu ichek city wanavyopiga beautifal soccer yaan ni burudan tosha kuichek city wakicheza kabumbu tatizo guardiola much know sana km sane kampany yaya toure wangekuwepo kikosin adi leo nakuapia real madrid angechezea sita fodrn bado grealish bado strealing kasi imepungua

Yani unamawazo ya kitoto sana very unprofessional.
Kwa Logic yako kama Liverpool mpaka leo ingekuwa na Steven Gerrard, Xabi Alonso, Suarez, Torres, Carragher na Javia Mascherano basi Spurs angekufa mapema sana.
 
What is tech ical secured? Kila mchezaji his not technically secured. That is nonses.
Spurs walichwza ile typical Conte style. Compact defense and counter attach. Any team ikichezewa hivyo with minimal ondividual errors opponent lazima wawe vulnerable. It is simple as that. Hata hao alina Mane na Salah uchezaji wao mbovu ni tunda la compact defense

Yani wewe ugomvi wako ni washabiki wa Arsenal tu! Wanachoandika chochote lazima ukipinge 😅😅😅
 
Yani unamawazo ya kitoto sana very unprofessional.
Kwa Logic yako kama Liverpool mpaka leo ingekuwa na Steven Gerrard, Xabi Alonso, Suarez, Torres, Carragher na Javia Mascherano basi Spurs angekufa mapema sana.
yaan haki ya nan sane wa juzi juzi hapo miaka 19 unamleta jitu km gerald kichwa nazi kweli ww
 
Yani unamawazo ya kitoto sana very unprofessional.
Kwa Logic yako kama Liverpool mpaka leo ingekuwa na Steven Gerrard, Xabi Alonso, Suarez, Torres, Carragher na Javia Mascherano basi Spurs angekufa mapema sana.

Huyu itakuwa sio mshabiki wa mpira huyu. Msimu mzima atakuwa anaangalia mechi hata 5 hazifiki
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom