Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Ramli hapa itagonga mwamba maana pep hawez kubaru atolewe UCL na Epl asipambanie, hivyo imani kwangu imepotea aisee.
Kwahiyo unaamini kuwa kutolewa UCL pep alifanya bargaining na Madrid ndiyo akakubali,Mimi naamini kwamba hakuna kukubali ila ndiyo hivyo ukizidiwa tactics Basi kufungwa au kudroo Ni lazima siyo ombi
 
Unabishana na mtu asiyejua mpira. Counter ni style ya mpira timu zote zinatumia
Defending wanayofanya spurs. Liver wakijitahidi no droo wataambulia
Ndugu yangu wewe kwenye mpira utanifunza nini! Kawadanganye mbumbumbu wenzio cheltako
 
Binafsi wake sometimes unaicost team, sehemu ya kupress tu kwa mwenzake aliyeko kwenye position nzuri yeye anabutua njeeeee.

Kuna muda mpaka Mane alikuwa anamwonyesha kanisa wapi kwa kupass lakini jamaa akawa mkaidi.

We should killed this game at FH, wakati Spurs walipokuwa with tension kubwa kuliko kusubiria miracle.
Kabisa mkuu, dah jamaa anatugharim sana.
 
Ramli hapa itagonga mwamba maana pep hawez kubaru atolewe UCL na Epl asipambanie, hivyo imani kwangu imepotea aisee.

Me bado mkuu nataka mpaka mwisho kabisa nione,mkuu siku zote umekuwa wa kukata tamaa hata na Villarreal ulipanic na kukata tamaa.

Tusubirie mpaka mwisho wa ligi kabisa,nitakubaliana na yote kwamba haikupangwa sisi kuwa mabingwa.
 
Quadruple FC ,...!!

Kutwa kutangaza kwenye media quadrable

Nyie mamluki mnajua maana ya quadruble kweli ,? isije ikawa mlikuwa hamuelewi mnachokisema
 
Spurs leo wamenifurahisha sana, hawa sasa ndio wa kwenda CL sio AsaniAli ambae unajua kabisa anatolewa kwenye mchujo wa makundi.
Unateseka mkuu, sisi tunaenda kumpasua kiroho mbaya hapohapo kwao na kina Nketiah & Saka.
 
Hata wakati chelsea anaongoza ligi kwa points 4,walikuja na hizo kelele Tayari Chelsea bingwa,tusubirie ligi hiishe ndio wapige kelele Za kumpa mtu ubingwa.

Huu Ubingwa kila timu ulishawahi kupewa mpaka Man U na yeye walisema atachukua lakini tunavyoenda mambo yanabadilika.
Maskini, poleni lakini!
 
Kwahiyo unaamini kuwa kutolewa UCL pep alifanya bargaining na Madrid ndiyo akakubali,Mimi naamini kwamba hakuna kukubali ila ndiyo hivyo ukizidiwa tactics Basi kufungwa au kudroo Ni lazima siyo ombi

Watu wanaongea tu ila havina maana kabisa,na wamekuwa wakikata tamaa kama ligi imeisha vile,hata tukitanguliwa goli wanakata tamaa basi tumeshafungwa,na wakati bingwa anapatikana mwisho kabisa mechi zimeisha sio mwanzo,wala kati wala mwishoni mpaka ligi iishe.

Kilichotokea kwetu na wa kwa wenzetu kitawatokea pia.
 
Kuna muda anapaswa kutambua kuwa mafanikio ya timu ni kipaumbele cha wengi kuliko mafaniko ya mtu binafsi.
Kamshahara mnakompa anajua kabisa mnamdhulumu kwa hio anaona ni bora apambanie mafanikio yake binafsi maana litimu analolitumikia ni la kinyonyaji
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom