Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Mashabiki wa man u hii hali inaitwaje?
Screenshot_2022-05-07-23-45-02-713_com.sofascore.results.jpg
 
Leo mnataka dua. Siku chache zilizopita mlisema hamumtegemei city ateleze ndipo muwe mabingwa. Sasa mmerudi kwenye ramli. Mpeni hizo salamu za ramli King Ngwaba au Rajabu
Ramli hapa itagonga mwamba maana pep hawez kubaru atolewe UCL na Epl asipambanie, hivyo imani kwangu imepotea aisee.
 
Analazimisha kupita wot anajua uwezekano wa kupita Ni mdogo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] huo uwezo alikuwa nao zamani sikuiz uwezo umepungua, isitoshe Totte walikuwa na defense kali sasa utawezaje kupita wote?
 
Man u na chelsea mnapata wapi ujasiri wa kuingia huku? [emoji1787][emoji1787][emoji849]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ukisikia niguse ninuke ndio sisi, vumilia tu mkuu hii ndio raha ya ushabiki wa mpira.
 
Njia nyeupe umewasafishia wewe?ligi haijaisha bado mechi zipo

Hata wakati chelsea anaongoza ligi kwa points 4,walikuja na hizo kelele Tayari Chelsea bingwa,tusubirie ligi hiishe ndio wapige kelele Za kumpa mtu ubingwa.

Huu Ubingwa kila timu ulishawahi kupewa mpaka Man U na yeye walisema atachukua lakini tunavyoenda mambo yanabadilika.
 
Yaani kaniboa balaa au kwakuwa ni winger? Huu uchoyo kabisa na mechi nyingi jamaa huwa ni mchoyo sana.

Binafsi wake sometimes unaicost team, sehemu ya kupress tu kwa mwenzake aliyeko kwenye position nzuri yeye anabutua njeeeee.

Kuna muda mpaka Mane alikuwa anamwonyesha kanisa wapi kwa kupass lakini jamaa akawa mkaidi.

We should have killed this game at FH, wakati Spurs walipokuwa with tension kubwa kuliko kusubiria miracle.

All in all,

Still long unbeaten

Well done Boys

You Will Never Walk Alone.
 
Salah kwa sasa hayupo kwenye fom ila bado analazimisha, ni bora aendelee kutoa assist tu ila ndio hivyo ni mchoyo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom