Jumbe Brown
JF-Expert Member
- Jun 23, 2020
- 12,035
- 12,812
Aaaamin aaaamin 🙏Tunamaliza EPL msimu huu kwa tarehe hizi hapa chini.
View attachment 2204011
Duuh haya mambo naona sasa yanazidi kukaza naona wiki ya mwisho ya kumaliza msimu huu EPL tunacheza gemu 3 ndani ya siku 7.
Malaika wazidi kuwalinda wachezaji wetu wabaki wazima wa afya.
YNWA
Hongereni. Kama kawaida Mane hua anapigilia ile misumari ya mwisho ya moto.Pamoja Mkuu yametimia haha haoooooooooooo Ufaransa.
YNWA
Klopp sio tu kocha mbali anajua maneno ya kuamsha vijana wake hii performance kipindi cha pili is down to Klopp influence...Mambo yamewageuka huku! Wametepeta!
Waingereza wamewaandikia kabango kadogo kanasema "Up the Ficking"Naona Villarreal wameanza kucheza kung-fu
Thanks indeed chap🙏Hongereni. Kama kawaida Mane hua anapigilia ile misumari ya mwisho ya moto.
@Wakipekee hiyaapa Tv yake ilipata chenga, yeye kesho ana madridHivi ni kweli [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii tv inatakuwa inasema uongo aisee ,[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Bhana huyu dogo aafu hakumbaliki ki vile pale Anfield ila msimu huu ujumbe ameutuma.Hongereni. Kama kawaida Mane hua anapigilia ile misumari ya mwisho ya moto.
🎵🎵📯📯📯Da siku bora sana mechi Kali..
Big win..
What a comeback...
Imagine being us [emoji2957]
View attachment 2210574
Hakikaaa👍Bhana huyu dogo aafu hakumbaliki ki vile pale Anfield ila msimu huu ujumbe ameutuma.
Ingekua mie ndio meneja wake bila 250k kwa wiki nisingesaini aisee huyu akutua hata PSG leo anaanza na 400k sababu ana deliver pale anapobitajika.
YNWA
@Wakipekee [emoji1787]Kweli chizi ni chizi tu.
Anaweza kwenda umbali mrefu sana ila akarudi na makopo tu
He is exquisite 😍Klopp sio tu kocha mbali anajua maneno ya kuamsha vijana wake hii performance kipindi cha pili is down to Klopp influence...
YNWA
🤣🤣Kuna mtu tena unakuta ni baba wa familia kabisa alikuwa anawaza Villarreal anamtoa Liverpool.
Yule jamaa aliweka akiba ya maneno? [emoji1787]Haya wale wa tandale.. anzeni kuondoka taratiibu[emoji23]
Tumchangie tu kesho akaitengeneze hahahahhahahahha@Wakipekee hiyaapa Tv yake ilipata chenga, yeye kesho ana madrid