Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220428_204359.jpg


Our African prince wapewe tu mikataba wanastahili. Wapo motooo balaaaa.

YNWA
 
Screenshot_20220428_204313.jpg


Tuelewane huu mkataba una kipengele cha kuongeza tena pengine miwili ama zaidi Hahaha.

Yaaani wapinzani mjipange sanaaaa.

Anfield inapanuliwa...
Klopp kasha saini 2026 yumooo
Usajili mapema sana Ward yupo mzigoni
Mara pap UCL, FA, EPL, Carabao yanatua yoteee aiseee tutaelewana. Ebu vijana wampe Klopp zawadi ya makombe kwa kusaini ma good times mpaka 2026.

YNWA
 
Screenshot_20220428_204553.jpg


Aisee gemu ya Aston Villa itakua ngumu balaaa maana Steve ni kama alishajiona 2024 yupo Anfield maana hata mkataba wake kasaini mpaka 2024 pale Aston Villa.

YNWA
 
Me nasubiria mwezi huu uishe tuangalie tumeshinda mechi ngapi? Maana mwezi huu ulisemekana kwamba una mechi ngumu kwetu
Liverpool kwa sasa hizo mechi ngumu hatuzijui aisee kila wakisema tunapigika ama sare ndio kabisaaa...

We are defying science haha anasema Peter Drury.

In short tuseme ni mental Monster.

YNWA
 
Steve G ni Bora aje akae Chini ya Klopp awe Assistant wake kwa Misimu 4 mpaka 5 ndiyo akabidhiwe Timu.

Hapo tayari atakuwa amejifunza mengi kutoka kwa Klopp kama Arteta alivyojifunza kutoka kwa Pep.
This will be the best way to groom Steve G.
 
View attachment 2204158

Aisee gemu ya Aston Villa itakua ngumu balaaa maana Steve ni kama alishajiona 2024 yupo Anfield maana hata mkataba wake kasaini mpaka 2024 pale Aston Villa.

YNWA

Game ngumu ilikuwa na man city pale etihad hao wengine hakuna kitu tutawapiga tu,ulichokisema hapo ilikuwa mitazamo ya kizamani sasa hivi mambo yamebadilika Liverpool inatoa kipigo kote kote sisi kufungwa mpaka wachezaji fulani wakosekane especially hapo kati.

Maana sasa hivi kila mechi lazima tufunge goli kuanzia 2 ,sasa wakitaka watufunge wafunge goli tatu na sisi tusipate hilo moja maana sisi kabla mechi haijaanza tayari tuna goli mbili mkononi.
 
Hiyo carabao umepewa bure ,kufungwa mlifungwa na kombe mkapewa nyie then mnavimba et champion ,labda champion wa tandale

Matip goal lilikuwa halali kabisa.
Vipi na Semi final ya FA week juzi tulipo wanyoosha pia tulipewa bure?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom