Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Legend of legends.
Shankly + Paisley = Klopp
YNWA
Tunamaliza EPL msimu huu kwa tarehe hizi hapa chini.
View attachment 2204011
Duuh haya mambo naona sasa yanazidi kukaza naona wiki ya mwisho ya kumaliza msimu huu EPL tunacheza gemu 3 ndani ya siku 7.
Malaika wazidi kuwalinda wachezaji wetu wabaki wazima wa afya.
YNWA

View attachment 2204123
Wa kusepa ni Minamino na Ox.
Elliot na Jones ndiyo future ya liverpool hawa wasiende popote.
Mnasema aje wakuu kuhusu hawa wachezaji je wabaki ama wasepe.
Salah
Mane
Firmino
Milner
Keita
Ox
Matip.
Origi
Gomez
Tsimikas
Taikumi
Kwangu naona hawa wasepe kwa kweli tuletee damu changa yenye mlengo tofauti.
Gomez
Keita
Milner
Ox
Origi
Taikumi
Hawa wabakie
Mane
Salah
Firmino
Matip
Tsimikas
Matip
Wafuatao wapate mkopo kama tutaongeza nguvu pale mbele
Elliot
Jones
Tsimikas
Tetesi za usajili mpya naona ni pale kati panatajwa sana.
YNWA
Hapana sio ghafla kumbe FSG siku nyingi sana walimpa hio ofa yeye hakutoa jibu mpaka pale aliona anaweza kuji commit tena miaka miwili.Huyu tunae sana,naona Klopp ndio ameomba aongeze muda,tunavyoishi nae na yeye ameona tunashow love ya kutosha,
Ile mechi na Villarreal nahisi amekubali kuanzia kwa wachezaji kupambana uwanjani mpaka Mashabiki
Kwangu nimeona kama ghafla sana nilikuwa natarajia kwenye mwakani hivi ndio angeongeza mkataba mpya, sio leo.
View attachment 2204065
Ulla mke wa Klopp jamani huyu inabidi ajengewe sanamu maana tangu Klopp anaajiliwa hapa ni yeye ndio alichagua hii kazi kwamba inamfaa Klopp na sasa tena amechagua kubakia jiji la Anfield na mume wake aedelee na kazi.
Asante Ulla.
YNWA
Mahaba waliyonayo hii Familia ya Klopp na hii klabu ya Liverpool ni makubwa sana.Yeye ndio aliemwambia nenda Liverpool na sio Man U. Na wakati sisi tulikuwa tumeshafuria balaa lakini akaamua aje Liverpool tu.
View attachment 2204123
Mnasema aje wakuu kuhusu hawa wachezaji je wabaki ama wasepe.
Salah
Mane
Firmino
Milner
Keita
Ox
Matip.
Origi
Gomez
Tsimikas
Taikumi
Kwangu naona hawa wasepe kwa kweli tuletee damu changa yenye mlengo tofauti.
Gomez
Keita
Milner
Ox
Origi
Taikumi
Hawa wabakie
Mane
Salah
Firmino
Matip
Tsimikas
Matip
Wafuatao wapate mkopo kama tutaongeza nguvu pale mbele
Elliot
Jones
Tsimikas
Tetesi za usajili mpya naona ni pale kati panatajwa sana.
YNWA
Hahaha kwa sasa wametuelewa mbona yaaani message sent.Ilikuwa kama utani tu watuwalikuwa wanachukulia poa.
Duuh mambo mazuri sanaaa Anfield yaaani kutoka timu ya kuuza mpaka kua retainers wa special talent kama akina Mane mbona tumeeleweka.Hapo ni ox,Milner na origi ndio wakuondoka hao wengine wahachwe,kwa hali ilivyo sasa hakuna anaetaka kuondoka akiondoka ujue mkataba umeisha.
Mahaba waliyonayo hii Familia ya Klopp na hii klabu ya Liverpool ni makubwa sana.
Klopp ni old school meneja kwenye nje ya uwanja ila mwenye mbinu za kisasa kabisa uwanjani. Hii mix adimu sana kuipata yaaani tazama wenzetu wanavyoteseka hata na adabu vyumbani kama pale Manjesta unaambiwa kunawaka motoo ki ufupi wanacheza kumaliza msimu, tazama Arsenal ishu ya Ozil na Auba ni aibu mambo kama yale kutokea kwenye klabu hizi kongwe na hayo yote sababu hawana kocha mwenye authority kama alivyo Klopp.
We are LUCKY KUA NA HUYU MZEE
YNWA
Stamping authority in any field delivers na Klopp has authority almost in everything regarding players and football matters.Manjesta licha ya kuwa na mahela yote yale lakini hayawasaidii maana mwaka wa 10 sasa hawana ubingwa na sio kawaida yao.
Wamebaki kwenye kutumia hela wakiamini zitawasaidia kumbe bado haziwasaidii kabisa wananunua wachezaji kwa gharama kubwa lakini hakuna kitu.wanabaki kugombana tu.
Klopp kaja kutufundisha mpira Aisee wengi tulikuwa hatuujui vizuri kaja kutufundisha na mbinu zake Za kisasa na wachezaji wetu hao hao wa bei rahisi.