Hapa kapteni letu anajiona nani sijui😂🙌😃🙌Hahaha amekusikia sanaaa tegemea miujiza sasa.
YNWA
My goodness this is not real man.
Bhanaaa kama ujaamini vile kama katupia.
Aisee kwa hio Steve G ndio apambane na Villa yake kwa sasa.
Hutoki na kombe hata moja huu MWAKA...utaniambiaHiyo carabao umepewa bure ,kufungwa mlifungwa na kombe mkapewa nyie then mnavimba et champion ,labda champion wa tandale![]()
Aisee kwa hio Steve G ndio apambane na Villa yake kwa sasa.
Huyo mwamba aodoke tu 2030 au mnaona aje yaaani akitoka Liverpool ni kustaafu hakuna kingine.
YNWA
.
Download Konde tv, kama huna kifurushi unaweza unganisha ata na tv unaangalia
Wanaenda mda wa nyongezaKwa hiyo kama Real Madrid akishinda goli moja nani anaenda fainali sasa?
Aisee kwa hio Steve G ndio apambane na Villa yake kwa sasa.
Huyo mwamba aodoke tu 2030 au mnaona aje yaaani akitoka Liverpool ni kustaafu hakuna kingine.
YNWA
StreamingHii Konde TV ni ya kustream tu kwa Bando au ni ya kulipia per month?
Streaming
Yeye mwenyewe haaminiBhanaaa kama ujaamini vile kama katupia.
Hahahaha.
YNWA

Kama unatumia samsung ndo easy, unaingia gallery unaingia kwenye picha au video yoyote tu af unashare, ukishare utaona sehem pameandikwa "mirror screen" bonyeza apo mchezo tayr, ila tv iwe smart piaKabla ya kuinstall nisaidie muongozo unaunganishaje na TV?