Malafyale
Platinum Member
- Aug 11, 2008
- 13,910
- 11,316
Hatimaye dunia imejua kuwa "we mean business"!
We teach them how to finish the tie!
Mane mtu m bad sana
Hatimaye dunia imejua kuwa "we mean business"!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂Bhanaaa aliona jana akuzime maana unamsema mnoooo akae bechi...Kapteni wetu wa kimataifa 😂😂😂🙌🙌🙌
Sema pamoja na ujinga wake wote,anajua kukaba afu anabahatishaga assist
Nyieeeeee wameanza kuwakana ndugu zao 😂😂😂😂Sijui kwanini nimepoteza muda kuangalia game ya kiboya kama hii ...!!!!! Hivi hii kweli ni CL au Europa ,..bored game ..
Download Konde tv, kama huna kifurushi unaweza unganisha ata na tv unaangaliaJamani naembeni link ya kucheku game,hii hasgoal naona mizinguo.
Man City vs Everton!
FA iliwaomba msamaha Everton kwa kuwanyima penalty ya wazi dakika ya 90.
Au umesahau?
Yaani tena nilitaka kusema hili takataka limewekwa ndo maana hatufungi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bhanaaa aliona jana akuzime maana unamsema mnoooo akae bechi...
Huchelewi kusikia goli lake liwe goli bora la msimu [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji14][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960][emoji2960]
YNWA
Kapteeeeeeni[emoji847]
😂😂😂😂😂😂😂💃💃💃💃💃💃Bhanaaa mbona kashapewa ya kutosha huyo unae mpaka 2025 Hahaha utulieee kabisaaaa.Yaani tena nilitaka kusema hili takataka linewekwa ndo maana hatufungi
Lahaulaa kapteni akafanya mambo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mitano tena kwake kapteni wa kimataifa[emoji23][emoji110]
Corner take quickly. Origiiiii
[emoji23][emoji23][emoji23]Akiendelea kufunga kama Jana nitampenda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Bhanaaa mbona kashapewa ya kutosha huyo unae mpaka 2025 Hahaha utulieee kabisaaaa.
YNWA
Hahaha amekusikia sanaaa tegemea miujiza sasa.[emoji23][emoji23][emoji23]Akiendelea kufunga kama Jana nitampenda
Sema huwa anabahatisha tu.