Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,822
- 233,254
Sijui kwanini huwa simuelewi jamaa kihivyo.Pamoja na mwamba Milner hahahaha.
YNWA
Chugga sioni huyo Thomas akibakie pale yaaani wame panick sana ni kama hana tena njaa kupiga kazi pale.Akina OllaChuga Oc watakunywa Sana Pain killer bila kupona
Mikumi tena kwa mama KloppView attachment 2204065
Ulla mke wa Klopp jamani huyu inabidi ajengewe sanamu maana tangu Klopp anaajiliwa hapa ni yeye ndio alichagua hii kazi kwamba inamfaa Klopp na sasa tena amechagua kubakia jiji la Anfield na mume wake aedelee na kazi.
Asante Ulla.
YNWA
💃💃💃💃💃💃💃Ulla ametufaa sanaaa.Mikumi tena kwa mama Klopp
Queen wetu 😂
Aishi sana mama yetu🥰😃✊✊💃💃💃💃💃💃💃Ulla ametufaa sanaaa.
Huyu Mungu azidi kumpa maisha marefu.
YNWA
Ni yeyeView attachment 2204067
Klopp Norbert Liverpool hahaha huyu mwamba mpaka 2025 anagonga miaka 10 klabuni.
YNWA
Leo umefurahi😂View attachment 2204068
Klopp is the system.
Wapinzani mwelewe mapema kasema ndio kwanza anaanza safari yake upya Liverpool.
YNWA
Sisi tunaendelea kuupiga mwingi hadi kipara aote nyweleChugga sioni huyo Thomas akibakie pale yaaani wame panick sana ni kama hana tena njaa kupiga kazi pale.
YNWA
😂😂😂😂😂😂😂😂Kipara nae aongeze tu mbona freshhhh.Sisi tunaendelea kuupiga mwingi hadi kipara aote nywele
Ila ataisoma sana namba😂😂😂😂😂😂😂😂Kipara nae aongeze tu mbona freshhhh.
YNWA