Na sisi kabla ya Fabinho bado kidogo tulikuwa tupigwe na Kitu kizito kwa Joginho.
Thank you Chelsea kwa kumsajili Joginho.
Dogo anataka awe starter kama akipata hio garantee pale mna mchezaji aisee.Joginho na kante wapo ova 30 years hatuwezi kumuuza Callager
Maneno sahihi ya kuanza wekedi hahaha.
Tetesi ni kwamba dogo anatua Manchester City... japo nao Barcelona walimtaka ishu sasa mpunga hawana.Manure marahii watapigwa kwa Haaland.
Milner abaki, Firmino auzwe.View attachment 2204123
Mnasema aje wakuu kuhusu hawa wachezaji je wabaki ama wasepe.
Salah
Mane
Firmino
Milner
Keita
Ox
Matip.
Origi
Gomez
Tsimikas
Taikumi
Kwangu naona hawa wasepe kwa kweli tuletee damu changa yenye mlengo tofauti.
Gomez
Keita
Milner
Ox
Origi
Taikumi
Hawa wabakie
Mane
Salah
Firmino
Matip
Tsimikas
Matip
Wafuatao wapate mkopo kama tutaongeza nguvu pale mbele
Elliot
Jones
Tsimikas
Tetesi za usajili mpya naona ni pale kati panatajwa sana.
YNWA
Aisee ngoja tuone mpaka Juni 2022 itajulikana wanaodoka na kubaki.Milner abaki, Firmino auzwe.
Keita na milner nao wabaki... milner kwa ajili ya dressing room nasikia Ni kiongoz hasa...keita ameanza kuonesha thaman yake..abaki aiseeView attachment 2204123
Mnasema aje wakuu kuhusu hawa wachezaji je wabaki ama wasepe.
Salah
Mane
Firmino
Milner
Keita
Ox
Matip.
Origi
Gomez
Tsimikas
Taikumi
Kwangu naona hawa wasepe kwa kweli tuletee damu changa yenye mlengo tofauti.
Gomez
Keita
Milner
Ox
Origi
Taikumi
Hawa wabakie
Mane
Salah
Firmino
Matip
Tsimikas
Matip
Wafuatao wapate mkopo kama tutaongeza nguvu pale mbele
Elliot
Jones
Tsimikas
Tetesi za usajili mpya naona ni pale kati panatajwa sana.
YNWA
Milner abaki, Firmino auzwe.
, noma sana. Halafu ox abaki?
Nampenda Bobby ila naona tumuachie, keita abaki hata kwa mkataba wa 2 yr, Gomez still anamuda wa kurudi kwenye kiwango chake, milner hata leo aondoke tunashukuru kwa kazi yake.View attachment 2204123
Mnasema aje wakuu kuhusu hawa wachezaji je wabaki ama wasepe.
Salah
Mane
Firmino
Milner
Keita
Ox
Matip.
Origi
Gomez
Tsimikas
Taikumi
Kwangu naona hawa wasepe kwa kweli tuletee damu changa yenye mlengo tofauti.
Gomez
Keita
Milner
Ox
Origi
Taikumi
Hawa wabakie
Mane
Salah
Firmino
Matip
Tsimikas
Matip
Wafuatao wapate mkopo kama tutaongeza nguvu pale mbele
Elliot
Jones
Tsimikas
Tetesi za usajili mpya naona ni pale kati panatajwa sana.
YNWA
Mane nae tuuzeUmetisha mkuu,yaani Milner abaki,firmino aondoke, noma sana. Halafu ox abaki?




Aisee Babu Milner kwa namna Klopp anavyokwenda nae atakuja kua staff pale Liverpool kama akisaini nyongeza mwaka mmoja tena akistaafu basi na ajira ni pale pale.Nampenda Bobby ila naona tumuachie, keita abaki hata kwa mkataba wa 2 yr, Gomez still anamuda wa kurudi kwenye kiwango chake, milner hata leo aondoke tunashukuru kwa kazi yake.
Ishu ndugu yangu ukumbuke Manchester United, Tottenham na Arsenal dirisha hii watazidi kujiimarisha na bila kuuza aua mchezaji asepe mwenyewe pale sioni FSG wakisajili hivyo ili kuweka space kwa wengine lazima baadhi ya hawa ma A list wasepe Keita ni bonge la talent lakini hio pekee haitoshi kama uzima wake ni wa mashaka tunahitaji mchezaji kama Salah alivyo tangu atue Liverpool amekosa mechi 3 tu na moja ya hizo ni aliumwo corona hivyo utaona dogo ni Mr Fit. Tunahitaji hio consistency ya kua na identity uwanjani kwa kikosi kamili kinvyohitajika.Keita na milner nao wabaki... milner kwa ajili ya dressing room nasikia Ni kiongoz hasa...keita ameanza kuonesha thaman yake..abaki aisee