Ooooh astionvilla atawasiamamisha ,nyie wenyewe mna game na villa ,na yupo nafasi ya 15 huko akizubaa atajikuta 18 ....
Mar ooh wolves hawachomoki ,nyie wenyewe mna game na wolves ,kwa hiyo nyie mataenda kuchukua point tatu bure ,huwa nabaki nacheka

..
Mara ooh watakutana na Newcastle ngumu ,hata nyie Newcastle mnaenda kukutana nae jumamosi tu hapo ,Sasa sijui nyie ndio mnaweza kumfunga pekee yenu

....
Mara ooh westham atawasiamamisha na sisi ndio tutawapita hio point Moja ,utafikili wenyewe hawana Spurs Tena inatafuta top four zaidi ya simba mwenye njaa


...!