Mkuu hatuna kingine zaidi ya imani.
Hivi Uefa hawa vijana wa Unai na wapo clinical sana kwenye kaunta zao na hii highline yetu tusimame vipi pale nyuma je Konate ama Matip na pale kati aanze Keita ama Hendo na je mbele tusimame vipi Diaz, Mane na Salah ama namna gani. Kimbaya zaidi hawa Villarreal hawana nyumbani na ugenini yaaani wao wanapaki treni aafu wanameza na kumeza mashambulizi aafu kaunta moja tu kwao goli watapata duuh huyu Unai noma sanaaaa.
YNWA
Sawa mkubwa, ila unajua na unakumbuka mwaka juz rodgers alitaka kufanya nn na leicester city, we unahisi au unajua kwann alikaza vile wakat alikua hana chakupoteza.Wewe mwenyewe una game za villa ,kama Steve g anawapenda Sana ,basi akaongee na bodi ya ligi mpewe point za bure dhidi yake
Kwanza mkikaa vibaya hata yeye atawaweka ,na hata angalia sijui yeye ni Liverpoolgame ya kwanza mmepata ushindi mwembamba mbona alikaza ?
Unaonesha namna gani ni mtoto mdogo Sana kijana ,!
Mwendo ni ule ule tuchukue kila gemu moja moja na tushinde mengine tutayakuta mwisho wa Msimu hakuna namna.Me naona tucheze kama tunavo cheza kila siku, uzuri nikwamba wao wametusoma lakin na klopp pia kawasoma
Sawa mkubwa, ila unajua na unakumbuka mwaka juz rodgers alitaka kufanya nn na leicester city, we unahisi au unajua kwann alikaza vile wakat alikua hana chakupoteza.
Au kwann asernal alikuja amekaza meno kwenye gemu yetu ya marudio we unahisi hakukua na Pep connection
Ebu ngoja tuone iyo gemu
Kabisa mkuu, maana walijua kufungwa lazima wafungwe tu ila yule Dogo Gordon alitupeleka mkuu sijui aliikamia game?
Duuh huyu Miller na ndio Klopp anakomaa eti apewe mkataba wakati naona sasa anachokiweza na kupiga viatu wachezaji. Hivi ile gemu ya Chelsea unakumbuka goli la kwanza alimla kiatu Pulisc wakapata faulo kupigwa ndio akafunga Mateo kwa huyu Milner hana msaada wowote aodoke.. Tena ile faulo alimpiga kiatu mara ya kwanza dogo akakwepa lakini mara ya mpili akampata na haikua move ya hatari ki vile. Hakika Klopp amuache asepe zake Leeds ama Aston Villa.Sisi kucheza vizuri inategemea katikati kacheza nani, hiyo mechi ya sare na Brighton kati alicheza ox, Jones na Milner na Henderson yaani viungo wengine hawakuwepo lakini hata leicester ilikuwa hivyo hivyo.
Slim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juzi
Lakini We are Liverpool we fight to last second regardless msimamo unasema aje.
Bil Shankly alisema wa kwanza ni kwanza tu wa pili ni kama hamna kitu1st is 1st second is nothing hivyo jamaa yangu mie nasimama na Bill mzee baba hapa kunyanyua mikono ni mpaka pale aidha tuchapike ama kipenga cha mwisho tarehe 22 Mei nadhani ndio Ligi inaisha.
No retreat no surrender ama ukipenda ya Mo Salah Never Give Up.
Umeuliza tulipotelea wapi. Ni hapa
Sare ya Brentford ugenini
Sare ya Chelsea ugenini
Sare ya Manchester City ugenini
Hizo gemu ilikua za ushindi lakini wachezaji walisinzia wakati muhimu sana matokeo yake ndio hii pointi 1 sasa inaonekana hapa.
YNWA
Akili yangu inaniambia liverpool wachukua hili kombe..
Tusubiri muda useme.
Brenford tulikua up 3-1 eti zikarudi ikawa 3-3Slim chances kupata huu ubingwa ni sisi na lipo wazi especially Manchester City wakianza kurudi kwenye ubora wao kama mechi ya juzi
Lakini We are Liverpool we fight to last second regardless msimamo unasema aje.
Bil Shankly alisema wa kwanza ni kwanza tu wa pili ni kama hamna kitu1st is 1st second is nothing hivyo jamaa yangu mie nasimama na Bill mzee baba hapa kunyanyua mikono ni mpaka pale aidha tuchapike ama kipenga cha mwisho tarehe 22 Mei nadhani ndio Ligi inaisha.
No retreat no surrender ama ukipenda ya Mo Salah Never Give Up.
Umeuliza tulipotelea wapi. Ni hapa
Sare ya Brentford ugenini
Sare ya Chelsea ugenini
Sare ya Manchester City ugenini
Hizo gemu ilikua za ushindi lakini wachezaji walisinzia wakati muhimu sana matokeo yake ndio hii pointi 1 sasa inaonekana hapa.
YNWA
Kama umefuatilia press conference nyingi za Klopp utaona kwenye gemu zote ambazo hua tunatokea kushinda kibishi amekua akisisitiza hilo unalosema wewe hapo kwamba slim na slight moments zinaweza kubadili upepo wa gemu muda wowote na utamsikia akisema.. 'wachezaji walisinzia dakika 30 za mwanzo ama kipindi cha pili walisinzia sana dakika 80 nk... Hivyo sio kwamba hatuna consistency mbali ni kasoro za ki mchezo ambazo wenzetu wamezitumia vyema kutuumiza kama ile gemu ya Brentford yaaani tuliomba sie mechi iishe maana walikua wanakuja.Brenford tulikua up 3-1 eti zikarudi ikawa 3-3
chelsea tukaongoza vizuri 2-0 eti zikarudi ghafla tuu, hata ile mechi na City Anfield ilikua yetu kabisa, Juzi tuu FA na City half time 3-0 ila hadi mechi inaisha tumebana mbupu, mi nahisi hatuna wachezaji wenye costistency ya juu kabisa ama saa zingine mbinu nk,
Mbinu rahisi ya kuishinda City ni kuwa na high lever ya consistency mwanzoni kabisa mwa ligi na katikati, wao wakiwa na point 50 wewe una 60 huko
Aisee moja ya sifa ya bingwa mtarajiwa ni kushinda hata akiwa na siku mbaya kazini na kwa namna ubao wa magoli ulivyosoma pale Ethad haikua siku mbaya kwa Kipara maana pamoja na kusaka pointi 3 anasaka pia kupunguza goal difference ambazo kwa sasa nadhani tumewaacha goli 6 tukiwa na advantage.Ubora gani kwa Watford bana?
One against one Watford walipoteza nafasi tatu.
Akicheza vile kama Watford mechi zijazo nina uhakika 100% Liverpool ni bingwa