Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Screenshot_20220425_232522_com.android.chrome_edit_179846922547034.jpg

Never Give Up.

YNWA
 
Screenshot_20220425_231053_com.android.chrome_edit_179791265507980.jpg

Teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh teh atakua bora zaid ya VVD jamani huyu Maguire au pacha wake kama yupo.

YNWA
 
JUMA mossi

Newcastle vs Liverpool

Man city vs Leeds united

Leeds anaenda kuchapika goli zaidi ya 4 hapo na ule mfumo wake wa kufunguka
Man city atapunguzwa speed na LEEDS AU WOLVES...Villa wanaweza wakawakazia mechi ya mwisho but.....nadhani city watashinda tu.
NA sisi Liverpool naona tutapata shida away kwa Newcastle na Aston Villa
 
Uzuri wa EPL una matokeo ya kustukiza sana kiasi hutaamini.

Kumbuka Manchester City akichezea 3 kwa Norwich ama Liverpool akichezea 3 kwa Watford yaaani ndio raha ya EPL.

Kwa sasa nionavyo ili twende sawa msimamo ni ule ule kila mmoja ashinde mechi zake haina maana Kipara atoe sare na Westham aafu tuchapike na Spurs hivyo kama alivyosema Klopp ni kwamba anachoweza kumpamba ni ushindi mechi zetu tu na sio za Manchester City hivyo tushinde zetu ikitokea Kipara kachapika itakua ni blessings in disguise kwetu.

YNWA

Spurs hana uwezo wakutufunga pale anfield,ingekuwa tupo kwao ningekubali.ile mechi tumetokanao sare na vvd hakuwepo na wachezaji wetu wakutegemewa hapo kati hawapo nje hapo sub hakuna mtu wa kufanya chochote wao walikuwa full .

Lineup yetu ilikuwa hii hapa

Adjustments.jpg

Mechi iliyokuwa yakupoteza ilikuwa Na city mwenyewe pale etihad lakini tukapata matokeo.
Pale tulizidiwa maana tulikuwa butu kabisa.

Hakuna timu ya kutufunga tena hapo .

Mechi na city ndio ilikuwa ya ubingwa ile kama tulishindwa kuwafunga tusubirie tu lakini Safari hii itakuwa upande wetu.tuwena imani tu.ingawa hakuna uwakika maana kumsubiria mwezio apoteze huwezi kuwa nauhakika ila na vijana wanapambana sana kwa hiyo tunaenda sawa.

Me naimani city lazima atateleza tu maana sisi tumekuwa bora kumzidi city kwenye hii round ya pili.
Ndio maana hata watu wengi wanatutabilia ma4 sio city kwanini kwasababu ndio tunaonekana tunasifa hizo.
 
JUMA mossi

Newcastle vs Liverpool

Man city vs Leeds united

Leeds anaenda kuchapika goli zaidi ya 4 hapo na ule mfumo wake wa kufunguka

Mkuu hiyo na Leeds mbona iko wazi kabisa mnashinda goli Za kutosha sio mechi yakijisifia kabisa hiyo.kuna mechi tunazisubiria sio hiyo.
 
Man city atapunguzwa speed na LEEDS AU WOLVES...Villa wanaweza wakawakazia mechi ya mwisho but.....nadhani city watashinda tu.
NA sisi Liverpool naona tutapata shida away kwa Newcastle na Aston Villa

Wolves hapo maana city atakuwa ugenini yaani anakuwa nyumbani Kwa wolves.sisi wolves anakuja pale anfield hapo uhakika tunamtwanga.

Hizo timu zingine hazina huwezo wa kumfunga city labda westham tu.
 
JUMA mossi

Newcastle vs Liverpool

Man city vs Leeds united

Leeds anaenda kuchapika goli zaidi ya 4 hapo na ule mfumo wake wa kufunguka
Bhana hiii gemu ya Newcastle sina imani kabisa hawa jamaa tangu mabilioni yatue mbona wameamsha balaaaa.

Kwa Leeds mjipange bhana ujue sio wale wa Marcelo.

YNWA
 
Spurs hana uwezo wakutufunga pale anfield,ingekuwa tupo kwao ningekubali.ile mechi tumetokanao sare na vvd hakuwepo na wachezaji wetu wakutegemewa hapo kati hawapo nje hapo sub hakuna mtu wa kufanya chochote wao walikuwa full .

Lineup yetu ilikuwa hii hapa

View attachment 2201114

Mechi iliyokuwa yakupoteza ilikuwa Na city mwenyewe pale etihad lakini tukapata matokeo.
Pale tulizidiwa maana tulikuwa butu kabisa.

Hakuna timu ya kutufunga tena hapo .

Mechi na city ndio ilikuwa ya ubingwa ile kama tulishindwa kuwafunga tusubirie tu lakini Safari hii itakuwa upande wetu.tuwena imani tu.ingawa hakuna uwakika maana kumsubiria mwezio apoteze huwezi kuwa nauhakika ila na vijana wanapambana sana kwa hiyo tunaenda sawa.

Me naimani city lazima atateleza tu maana sisi tumekuwa bora kumzidi city kwenye hii round ya pili.
Ndio maana hata watu wengi wanatutabilia ma4 sio city kwanini kwasababu ndio tunaonekana tunasifa hizo.
Duuh jamani kumbe VVD hakuwepo ile gemu asa walishindwa aje kutupiga.

Nina imani na kikosi sema sasa haya mambo ya kupaki basi za Uingereza zinaanza kuiga Atletico Madrid hahaha kwamba wapate headline kwamba walituzima kwenye ubingwa unakumbuka ile ya Crystal Palace 2014 walivyotuzima hivyo timu zingine wanasaka sifa tu kwamba walituzima.

Kwa sasa tuna momentum ya kutosha na wachezaji wana harmony kila mmoja anajua majukumu yake na pazuri ni kwamba pepo la majeruhi limetupita mbali kwa sasa. Mpaka sasa Keita na Thiago wanapiga tackling na block yaaani Anfield kumenoga sana.

Carabao ipo ANFIELD
FA ni yetu kupoteza
UCL tutapambana
EPL tutapambana

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom