Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Wolves hapo maana city atakuwa ugenini yaani anakuwa nyumbani Kwa wolves.sisi wolves anakuja pale anfield hapo uhakika tunamtwanga.

Hizo timu zingine hazina huwezo wa kumfunga city labda westham tu.

Mkuu punguza hope Pep hawezi kupoteza tena game wala point.

Ligi ataimaliza akiwa na points 95

Msimu huu City anabeba ubingwa
 
Hahahah Muna mbwe mbwe nyie hahaha 😂😂😂
Sisi kwa Sasa ni watazamaji hatuna tena ule ushindani ..kwa Sasa tunasubiri bingwa kati yenu na liver tutoe pongezi.
Mambo mazuri sana hapa Anfield ni raha tu.

La Ubingwa penye uhakika kwa kupambana nikuvue UCL Hahaha maana huko hua sina mzaha. Kuhusu EPL duuh tuyaache mpaka msimu uishe

Wazungu husema enjoy while you can.

Mtakaa sawa mapema mmiliki mpya aje ma mkwaja ampe sapoti Thomas na kikosi atajenga cha ushindi mbona ni suala la muda ndugu.

YNWA
 
Next season, We Gunners will be there.

Kama kutaendelea na rebuild tena bila ya kumbadilisha Arteta basi after three seasons ndiyo munaweza kucompete kwa Ubingwa.

But iwapo Arteta atafukuzwa au rebuild yenu haitakuwa na Consistency basi safari bado ni ndefu.
 
Amkeni amkeni Man U wanaenda kuuziwa kitu mneso huku! Frinkie De Jong £70m ETH anamtaka kwa hiyo hela, nahisi kunaharufu ya kuuziwa Mbuzi kwenye gunia hapa . £200 -70=£130m sasa hapotasajili wachezaji wangapi?
 
Next season, We Gunners will be there.

Mnakuwa na mbwembwe sana mkuu,sisi tunawatakiwa kilala heri hatuna shida kabisa na nyinyi wasiwasi wangu hao wachezaji wenu mliokuwa nao msimu wakitakwana na timu kubwa zingine zinazochukua makombe hata kataa?

Bila kusahau msimu huu tumecheza na nyinyi mechi nne kwenye hizo mechi nne mmeshindwa kutufunga hata goli.

100% top 4 mtabakia japo nyinyi wenyewe mna wasiwasi .
 
Amkeni amkeni Man U wanaenda kuuziwa kitu mneso huku! Frinkie De Jong £70m ETH anamtaka kwa hiyo hela, nahisi kunaharufu ya kuuziwa Mbuzi kwenye gunia hapa . £200 -70=£130m sasa hapotasajili wachezaji wangapi?

Hakuna kitu hao mkuu,bado wako kwenye past hao wanaishi miaka ya nyuma sana haitawasaidia kabisa.

Hawajifunzi tu kwa magwaya.waache wapigwe tu na watu wameshawaona wana hela za kuchezea.
 
Mnakuwa na mbwembwe sana mkuu,sisi tunawatakiwa kilala heri hatuna shida kabisa na nyinyi wasiwasi wangu hao wachezaji wenu mliokuwa nao msimu wakitakwana na timu kubwa zingine zinazochukua makombe hata kataa?

Bila kusahau msimu huu tumecheza na nyinyi mechi nne kwenye hizo mechi nne mmeshindwa kutufunga hata goli.

100% top 4 mtabakia japo nyinyi wenyewe mna wasiwasi .
Mmetufunga msimu huu sababu quality wise mlikuwa bora zaidi, nyinyi wachezaji wapo pamoja kwa muda mrefu sasa lakini pia tuna timu ya vijana wadogo waliokuwa wanatafuta experience kwenye elite level, tunachofanya next season ni kuboresha squad kwa kuadd more quality & profile tulizozikosa msimu huu, kama unaujua mpira utagundua liverpool & City mmefutunga not for tactical reasons ila ni quality issues & Experience, Moja ya kitu nimemkubali Mikel Arteta japo kapoteza mechi za Liverpool & City ila tactically alimanage kwenda toe to toe na hizi timu paka pale quality differentials ilipotake place.

Kwako unaweza ukaona Arsenal amepoteza game kubwa ila kwangu naona vijana wamejifunza na kupata uzoefu wa kucheza hizo game, leo unaona tunapata pointi dhidi ya timu kubwa japo mwanzo ilikuwa mtihani EXPERIENCE IS KEY.
 
Kama kutaendelea na rebuild tena bila ya kumbadilisha Arteta basi after three seasons ndiyo munaweza kucompete kwa Ubingwa.

But iwapo Arteta atafukuzwa au rebuild yenu haitakuwa na Consistency basi safari bado ni ndefu.
Hakuna cha misimu mitatu mkuu, nisikilize mimi, kama tutakuwa na a big summer window basi next season ni ndani ya top 3, Mikel Arteta atakuwa kocha wa kwanza kuua ushindani wa Pep & Klopp. Save hii comment mkuu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom