Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,793
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ungelambwa makofi [emoji1787][emoji1787]Kuna mahali nilikuwa kwa mzuka ule nilishangilia mpaka beer zikamwagika wahuni wakaanza nletea noma nikawaomba msamaha ila nikaona sio sehemu salama kwangu nikahama kiwanja chap [emoji23][emoji23]