makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,993
- 104,498
Usihukumu kuwa ni false hope wakati mida haujaisha!!Ok, sio Tatizo kuwa na false hope
Usihukumu kuwa ni false hope wakati mida haujaisha!!Ok, sio Tatizo kuwa na false hope
Duuh huyu Miller na ndio Klopp anakomaa eti apewe mkataba wakati naona sasa anachokiweza na kupiga viatu wachezaji. Hivi ile gemu ya Chelsea unakumbuka goli la kwanza alimla kiatu Pulisc wakapata faulo kupigwa ndio akafunga Mateo kwa huyu Milner hana msaada wowote aodoke.. Tena ile faulo alimpiga kiatu mara ya kwanza dogo akakwepa lakini mara ya mpili akampata na haikua move ya hatari ki vile. Hakika Klopp amuache asepe zake Leeds ama Aston Villa.
YNWA
Brenford tulikua up 3-1 eti zikarudi ikawa 3-3
chelsea tukaongoza vizuri 2-0 eti zikarudi ghafla tuu, hata ile mechi na City Anfield ilikua yetu kabisa, Juzi tuu FA na City half time 3-0 ila hadi mechi inaisha tumebana mbupu, mi nahisi hatuna wachezaji wenye costistency ya juu kabisa ama saa zingine mbinu nk,
Mbinu rahisi ya kuishinda City ni kuwa na high lever ya consistency mwanzoni kabisa mwa ligi na katikati, wao wakiwa na point 50 wewe una 60 huko
Ndio naona hapa uwaki aliotufanyia.View attachment 2200238
Allison bhana hakusubiri msimu ujao maana hawajulikana watacheza wapi kamlipa Pickford jana ile ile
YNWA
Hakuna timu nyepesi kama Madrid kabisa ,hawajui kupress wanacheza nyuma huku wakisubili counter attack ya vin na benzema....hata hivyo wamemtoa Chelsea na psg kwa mistake za makipa Wala hawana build up nzuri ya mashambulizi ....!
Madrid ni timu nyepesi Sana ,walitembelea mistake za Chelsea na psg kufuzu ....!
Sioni wakitusumbua kabisa hawa ,tukicheza possession football haki ya nani utawakataa Madrid ....
Subili uone ....!
Aisee moja ya sifa ya bingwa mtarajiwa ni kushinda hata akiwa na siku mbaya kazini na kwa namna ubao wa magoli ulivyosoma pale Ethad haikua siku mbaya kwa Kipara maana pamoja na kusaka pointi 3 anasaka pia kupunguza goal difference ambazo kwa sasa nadhani tumewaacha goli 6 tukiwa na advantage.
Ngoja tuone mechi bado zipo.
YNWA
Madrid anafigisu gani ,....!Bhudhaah unaijua Real Madrid mbele ya UCL au unaisikia tu hehehe ila sawa nakuombea upite Madrid ndio wanajua figisu za UCL mwanzo kati na mwisho
Pambana sana



Jana umeshinda kipindi Cha ngapi mbele ya Everton ?Mkuu kwa sisi tunaofatilia mechi kuna mechi kabisa unaona city leo anashinda goli nyingi,
Mechi na Watford ilikuwa iko wazi city anashinda tu,ilikuwa haina ugumu wowote hamfunge wolves au westham na Newcastle .akicheza na hizo timu anapata ushindi kipindi cha pili na kwa taabu sana.
Ushindi wake wa kipindi cha pili na kwa taabu sana ndio mimi unanipa wasiwasi sana kwamba hatapoteza tu
Tofauti na sisi ,sisi tunaonekana tunauwezo sana kuanzia raundi ya pili imeanza hakuna kupoteza mechi hata kwenye Epl.
Haya bhana wewe jifariji hivo hivo ila REAL MADRID mbele ya UCL ni habari nyingine kabisaMadrid anafigisu gani ,....!
Timu nzima ni benzema,...!
Harafu inacheza na timu ya wachezaji 11![]()
..
....
...!