Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Hivi Wala pizza nao chali kumbe hawajavuzu😳😳 kiruuuu mbutaaa...

Hili kombe la Dunia litakuwa la mchongo. Vip wanangu wa Colombia wamefuzu? Wananzengo wale nawakubali saanaa 😀😀😀
😂😂😂😂🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿🙆🏿Colombia kama Italy watakua watalii Qatar 😝😝😝awamu hii wamechemka.

YNWA
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] upo mkuu yaani yuko pekeyake anashangilia mwenyewe na mwenzake haonekani kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 Ndio maana anatua mazima humu kula good time hahahaha hahahaha

YNWA
 
Bora apewe mkataba mpya aisee
Tangu aambiwe hii ishu yake ipo ya kuumia mara kwa mara ipo zaidi akilini mwake hivyo imempa uoga usioisha na kuambiwa ajirekebishe ajiamini naona kama sasa namba 8 anaanza kuitendea haki aisee.

YNWA
 
lembu
Ilikuwaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niliacha hf 2-2

Hakiyanani nimefuraaaahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
lembu
Ilikuwaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niliacha hf 2-2

Hakiyanani nimefuraaaahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Furaha ya nini wakati hata sisi na nyie sio washindani tena? au wewe ni Arsenal nini?
Matokeo hayo hayatabadilisha misimamo ya Chelsea na Arsenal kwenye top 4
Arsenal itaendelea kuisikia top 4 kwenye magazeti na mitandao na sisi kwenye nafasi ya tatu hatutoki hadi afe mtu
 
lembu
Ilikuwaje jamani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Niliacha hf 2-2

Hakiyanani nimefuraaaahi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Darajani washaregea aisee mpaka Arsenal jana kajipigia na kuamsha matumaini ya Top 4 upya.

Lukaku sjui alilazimishwa kucheza jana yaaani hana passion kabisaaa na ile team.

Huyu hawa jamaa walipigwa aisee kawashindwa mabeki wa Arsenal kweliiii

YNWA
 
Furaha ya nini wakati hata sisi na nyie sio washindani tena? au wewe ni Arsenal nini?
Matokeo hayo hayatabadilisha misimamo ya Chelsea na Arsenal kwenye top 4
Arsenal itaendelea kuisikia top 4 kwenye magazeti na mitandao na sisi kwenye nafasi ya tatu hatutoki hadi afe mtu
Nimefurahi tu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom