Konate hakucheza, ila hao wote walicheza hadi huyo HALIMA GWAYALiverpool lineup against man uView attachment 2193657
Liverpool lineup against man uView attachment 2193657



Jamani Henderson tumwache amalizie msimu hata asipo-perform kuna watu watamfichia aibu! Heshima kwake!!Nimefurahi Salah karudi
Henderson leo klop kamtafutia sababu ya kumpiga bench mechi zijazo
Mimi nilikua nmekunja nne namsoma tu, nikajua tu anatupa moyo kinafiki, japo alitamani tushinde, kwamba eti tuje kucheza kwa nguvu, nikamwambia hata uchawi hautaweza kutusaidia man utd.




Sasa hivi forward wetu wapo moto kiasi kwamba tunapata shida kuamua nani aanze nani akae sub.Diogo J
Kuna mahali nilikuwa kwa mzuka ule nilishangilia mpaka beer zikamwagika wahuni wakaanza nletea noma nikawaomba msamaha ila nikaona sio sehemu salama kwangu nikahama kiwanja chap 😂😂Salah kafunga hadi nimepatwa na furaha aisee
Pogba alishtuka mapema sana akajifanya kaumia dakika ya 8 tu ya mchezo akatoka. Kakwepa lawamaIfike muda wachezaji wa Manchester wajiheshimu na wawe na msimamo.
Mechi kama ya jana ilitakiwa wakatae kabisa kuingia kucheza ili kulinda heshima yao..
Kulikoni kwenda kuzunguka tu uwanjani bila chochote hadi wanapata vizunguzungu.
Liver tungepewa tu point zetu
Oya acha basi 😂😂😂
Alijua kifuatacho ni mvua ya magoli...Pogba alishtuka mapema sana akajifanya kaumia dakika ya 8 tu ya mchezo akatoka. Kakwepa lawama