Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Adjustments.jpg
 
Screenshot_20220422_132710_com.android.chrome_edit_34736229163448.jpg


Huyu Mane akicheza pale kati mbona amekua balaa hivi maana ile assist kuchana ule ukuta wa Manjesta, sio assist ya kawaida.

Kwangu naona ndio assist bora EPL msimu huu sijaona kama ile duuh lakini na Salah alivyopoza ule mpira nilijiuliza ina maana imetoka mazoezini ile hawakubahatisha kabisa.

Klopp asante sana mnatupa raha sana na vijana wako yaaani burudani sana.


YNWA
 
Screenshot_20220422_132652_com.android.chrome_edit_34747072945738.jpg


Aisee ukweli ndio huu hawa hawa wa bei chee tunakwenda nao maana tuna Kocha classic wakitua pale wanakua wakali balaa.

Kwa namna Klopp anavyowajenga hawa vijana hakuna haja ya marquee singing twende na hawa hawa. Hakuna haja ya Mbappe mmoja alipwe mshahara wa Jota, Diaz, Mane yaaani bora hawa hawa wa bei chee wanajituma hawana ubishoo ni kazi kazi.
Ki ukweli Klopp anaemfanyia ushushu wa hawa wachezaji tabia zao uwajani na nje ya uwanja hakika apewe heshima yake maana hawa vijana wao ni mpira tu hawana kashfa wala nini ni kazi tu kwao.

Am Happy to be a RED

YNWA
 
Screenshot_20220421_214456_com.android.chrome_edit_36388618862155.jpg


Yaani hawa ma pundits mbona tutaelewana.

Kazi ya Klopp imeeleweka mpaka unavyoona sworn enemy anasema mazuri juu yako kuna mawili aidha kweli unafanya vyema ishu zako ama anakulegeza ujisahau akumalize lakini kwa namna Klopp alivyowatadika Manjesta msimu huu imebaki kwao ni just to admire kazi ya Klopp na vijana wake.

Diaz katua January kama sikosei ana magoli sawa na Sancho(£75m) na soon atakua na magoli sawa ni yule Messi wa Citizens aka Jack Grealish (£100m)

Manjesta ni kichaka cha upigaji pale hakuna mwelekeo

YNWA
 
Screenshot_20220421_213658.jpg


Hawa jamaa sasa watachanganyikiwa yaaani Klopp fundi aisee yeye kwake mchezaji mzuri sio wa bei ghali wala bei chee mbali awe na talanta mengine yatafuata ndio maana tunawaona akina Tsimikas, Robertson, Thiago nk wa bei chee lakini output yao inatosha uwanjani.

Klopp haangali Uingereza wakati ananunua anachotaka mchezaji awe kiwango anachoona kuna namna atumtumia kwa faida ya timu.
Klopp hafanyi kazi peke yake na hataki credit peke yake hua anafanya kazi na ushirikiano na wafanya kazi wenzie pale Anfield akifuatilia details zote. Anawajua mpaka wafanya kazi wa usafi, wapishi, walinzi nk yaaani hii kazi hakubahatisha kupewa hakika anachosema Gary ni kweli kabisa ndani ya Klopp kuna Shankly, kuna Paisley, kuna Fagan nk ndio maana ana connect na wachezaji mashabiki wamiliki kwa levo za juu sana.

Tuna bahati sana kuwa na huyu mwamba pale Anfield.

YNWA
 
Screenshot_20220421_221905_com.android.chrome_edit_37860232089534.jpg


Sasa huu uonevu kwamba Maguire ndio anasababisha Manjesta wawe dhaifu vile.

Yaaani kwa Liverpool hii hata angekua pale Jaap mbona wangechezea vile vile.

Ushindi wa timu ni team work sio mchezaji mmoja mmoja ndio maana Liverpool hata Salah akiwa na siku mbaya kazini wengine watafunga tu.

Numbisa ebu mwacheni dogo Maguire.

Nyie komaeni na idara inayohusika na scouting bomoeni yote imewafelisha kukomaa na Maguire ni uonevu.

YNWA
 
Screenshot_20220421_214726_com.android.chrome_edit_36325641961122.jpg


Ndio namba 9 wetu huyu jamani yaaani false 9 matata sana.

Boy must have been studying Bobby maana sio kwa moto huuuuu.

Again Klopp masterstroke buy Jota/Diaz push Mane to the centre gradually haha huyu mzee huwezi kumtabiri atakuja ki vipi na hawa wachezaji aisee yaaani siku utakuta Bobby akicheza DEFENSIVE MIDFIELDER soon hii itaonekana maana Klopp ni next level.

YNWA
 
Nimeangalia hii picha nimegundua apart from Individuals issues ila united pia wana tactical issues, kivipi?

Kwenye picha Liverpool anabuild play in 3-1 shape, wakati United anapress kwa 4-4-2 shape, liverpool ana extra advantage kwenye first line sababu ana numerical superiority 3v2, yaani watatu wanapressiwa na wawili wa united,
kwenye last line ana 6v4 wachezaji wanne wa United wanablock watu sita. Sikuangalia mechi so sijajua kwenye settled play walikuwa wanashift vipi defensive shape, may be walikuwa wanadefend na back 5.

So Rangnick angefanya nini?

Binafsi ningemshauri Man mark Fabinho ili kupunguza circulation kwenye midfield anaporeceive mipira from the first line, so Liverpool either wangecheza long balls kuitafuta settled play thru 1st & 2nd balls winning or Thiago adrop kwenye deeper areas kureceive, so shape ingechange kuwa 3-2-5 ingempa Rangnick ahueni sababu kwenye last line ingekuwa 5v4 then kama mchezaji mmoja wa united angedrop kuform back 5 ingematch up kuwa 5v5. So wangefungwa may be kwa kukosa intensity na sio tactical aspect of the game. Lakini kwa hali ilivyo inaonesha United wanakosa proper structure na wachezaji wengi ni toxic players.



JamiiForums930931612.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom