Wakuu
Nimeachana na mke wangu rasmi kwa talaka.
Kwani Liverpool na mke naona bora Liverpool tu wala hainidai hela za nguo wala wig na inanipa raha Mara nne
Anyway ile pass ya Mane tunaijadili saa ngapi?
😀😀😀😀
Huyu salaha timu yake ya taifa hijafuzu world cup Hana faida yeyote..
Aisee kwani Jorginho aka masta pass ni vipi Chugga anakwenda Qatar ama ataangalia kwenye kideo kama SalahHuyu salaha timu yake ya taifa hijafuzu world cup Hana faida yeyote..
Numbisa njooo huku kuna ofa murwa sana ndugu yangu kutoka Kaskazini bwana Chaliifrancisco ameona si bure mateso haya unayopata kutoka kwa Manjesta hivyo rasmi ametangaza nia ya kukufuta machozi haya kazi kwako uchague kupanda SGR ya umeme ama TRL ya dizeli ama kuni 😂😂😂😂😂😂Huyo Numbisa Namuoa ili aepukane na machungu ya huko yunaitedi. Akija chamani nitampa faraja.
You never cease to amaze meHuyu salaha timu yake ya taifa hijafuzu world cup Hana faida yeyote..
Ila maguire ana faida sababu nchi yake imefuzu? 🤣Aisee kwani Jorginho aka masta pass ni vipi Chugga anakwenda Qatar ama ataangalia kwenye kideo kama Salah
YNWA