Captain Marvelous
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 15,313
- 32,605
Our formula one racing cars at thier best.
Nani haogopi Liverpool sasa..
Asante Klopp umetuletea heshima kubwa sana.
YNWA
View attachment 2193928
Numbisa jamani haya hayajakukuta kwa kweli.
Pole sana na tena pole sana.
Kutesa kwa zamu.
Ni wakati wetu.
Tunakula good time sanaa.
YNWA
Ila Thiago anaupiga mwingi.View attachment 2193936
Hahahaha the Anfield SWAT SQUAD imefika jamani mtulieee hivyo hivyo tuna mission.
YNWA
View attachment 2193928
Numbisa jamani haya hayajakukuta kwa kweli.
Pole sana na tena pole sana.
Kutesa kwa zamu.
Ni wakati wetu.
Tunakula good time sanaa.
YNWA








Huyo Numbisa Namuoa ili aepukane na machungu ya huko yunaitedi. Akija chamani nitampa faraja.View attachment 2193928
Numbisa jamani haya hayajakukuta kwa kweli.
Pole sana na tena pole sana.
Kutesa kwa zamu.
Ni wakati wetu.
Tunakula good time sanaa.
YNWA
View attachment 2193920
Maestro Thiago i salute you.
You have proven me wrong that you can stay injury free.
Am humbled for real.
YNWA






Ona hapa
,tunawatandika jingine




Rukhusa ebu muokoe mwenzetu kilio kila siku inauma sanaaa.Huyo Numbisa Namuoa ili aepukane na machungu ya huko yunaitedi. Akija chamani nitampa faraja.