Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Kuelekea Next season kwenye maeneo ambayo tunatakiwa kuleta watu ni eneo la midfield

Henderson ile Stamina, High Intensity running, Pressing na Dictating Tempo of the game inaanza kufade almost next season atakuwa sanaa squad player.

Milner na Ox wanaweza kuondoka ana hata kama watabakia we cant rely on them.

Thiago and Keita when they are available ni world best lakini availability yao ni questionable

Curtis Jones na Elliott still wanadevelop bado hatujaweza kusema tuwategemee kwenye first eleven bado ni aina ya squad players.

Pia tunahitaji Fabinho Cover

So far kuna Fabio Carvalho ambaye ataongeza pia kitu ila je Sokoni unaona kuna nani ambaye anaweza kuja kuongeza kitu in our midfield???

Tchouameni anahusishwa na kwenda Madrid huku Gravenberch anahusishwa kwenda Bayern je kuna options gani nyingine??

Bellingham too expensive kwangu
 
Hendo kabaki kama choir master tu
 
Kusema kweli sijaona ukali wowote wa Liverpool
Hivi unazikumbuka hizi post zako? 😁

shot_2022-04-17_14-45-30.jpg
 
Kuelekea Next season kwenye maeneo ambayo tunatakiwa kuleta watu ni eneo la midfield

Henderson ile Stamina, High Intensity running, Pressing na Dictating Tempo of the game inaanza kufade almost next season atakuwa sanaa squad player.

Milner na Ox wanaweza kuondoka ana hata kama watabakia we cant rely on them.

Thiago and Keita when they are available ni world best lakini availability yao ni questionable

Curtis Jones na Elliott still wanadevelop bado hatujaweza kusema tuwategemee kwenye first eleven bado ni aina ya squad players.

Pia tunahitaji Fabinho Cover

So far kuna Fabio Carvalho ambaye ataongeza pia kitu ila je Sokoni unaona kuna nani ambaye anaweza kuja kuongeza kitu in our midfield???

Tchouameni anahusishwa na kwenda Madrid huku Gravenberch anahusishwa kwenda Bayern je kuna options gani nyingine??

Bellingham too expensive kwangu

Future pale kati AM ni Jones, Elliott, Fabio.

Tetesi za usajili mpaka sasa zinasema baadhi wanaotajwa kufuatiliwa na Liverpool ni hawa hapa.
Mikel Merino kutoka Real Sociedad
Bissouma kutoka Brighton
Octavio kutoka Porto
Barrela kutoka Inter Milan
Rise kutoka Hammers
Zaniolo kutoka Roma
Pellegrini kutoka Roma

Binafsi hapo tushuke mazima kwa Bissouma ni jembe na EPL anaijua au ikishidikana basi Roma kwa Zaniolo kama bajeti itaruhusu maana Klopp akishamtoa Origi tetesi ni kwamba anakwenda kulee alipomtoa Taikumi RB Salzburg kuna dogo anaitwa Adayemi pale anamhitaji aje Liverpool na pia tetesi ni kama vile ukuta unahitaji kuimarishwa tunatajwa kwa kisiki asieumia Bremer pale Torino japo ushindani upo kwani na Inter Milan na Juventus wanamtaka mazima.

Naona itakua bizy June kwa Julian Ward.

YNWA
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom