Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

Liverpool FC (The Reds) | Special Thread

View attachment 2189904

MF leo ya Keita, Fabinho na Thiago imeeleweka vyema.

Kwa mara ya kwanza tumeona mipango ya Klopp pale kati anahitaji nini kwa MFs wake.

YNWA
na hapo ndipo tulipo mshikia city kwa kuwa kati kulijaa ubunifu wa kutosha. tunahitaji ubunifu zaidi kwny mido yetu tunaposhindwa kupata matokeo mazur kwny mechi za mpira wa miguu ujue tumezidiwa kati.

huu msimu ni wetu huu kati ya makombe matatu ambayo tunapambania mpaka sasa afe kipa afe beki hatukosi mawili
#YNWA
 
Dont' let the scoreline fool you, this game was one-sided against the richest team in the world. Pundits and ex-players will defend Guardiola loyally as always. Criticism is only for Klopp and Tuchel. So here are some questions that won't be asked:

- weren't you lucky today? could have been 6-7 goals here

- After spending 700 million, how are 2 injuries an
excuse?

- If De Bryune, Rodri, Ederson, Maherz are on the bench, why not start them and let the others handle the 2nd half? You have 5 substitutions, you used 1.

- Instead of paying 100 million for flop Grealish, why not buy 2-3 good players ? For 100 million, Klopp bought Salah, Diaz and Mane.

- Why is Zack Steffen so weak? Klopp won the Carabao cup with Kelleher.

- Why play from the back when Ederson is missing and Steffen can't handle it? Looks like Guardiola doesn't know his team well.

- Why is the Man City academy failing under Guardiola? Where are your Trent, Kelleher, Gomez, Harvey, Rhys, Phillips?

- If Guardiola improves players, why can't Sterling, Jesus, Zinchenko, Silva, Mahrez carry these games after so long?

- What was the need to risk all attacking players against Atletico, the most defensive team in Europe with an aggregate lead ?

- What is the solution to this problem? Buy Haaland and Nkunku for 300 million and break more financial fairplay rules? How is this "genius" ? Anybody can do this.
Jana ilikua one sided affair
 
Munashangilia sana wakati man city akiwapangia kikosi B
Hichi ndio kikosi B kwa man city? Em acha izo, hapo labda ni kipa tu.
Screenshot_2022-04-17-09-07-35-817_com.sofascore.results.jpg
 
na hapo ndipo tulipo mshikia city kwa kuwa kati kulijaa ubunifu wa kutosha. tunahitaji ubunifu zaidi kwny mido yetu tunaposhindwa kupata matokeo mazur kwny mechi za mpira wa miguu ujue tumezidiwa kati.

huu msimu ni wetu huu kati ya makombe matatu ambayo tunapambania mpaka sasa afe kipa afe beki hatukosi mawili
#YNWA
Sure.

Hii ndio spirit.

No retreat no surrender ni kupambana next ni Manchester United Anfield Jumanne hii.

YNWA
 
Hichi ndio kikosi B kwa man city? Em acha izo, hapo labda ni kipa tu.View attachment 2190429
Ukiwa vitan ukakutana na mtoto ana bunduki piga za kichwa usimuache. Mission ilikua kwenda final na kulibeba kabisa siku ya mwisho,izo blah blah zao sijui kikosi B sijui nan hakuwemo iyo sio kazi yetu sisi tulienda kwa swala moja tu kushinda BASI so yoyote ambae angekua mbele ni kula kichwa tu.
 
Wakuu
Mkiona kesho kwenye habari wakitangaza kuwa kijana mmoja mwenye jezi ya Liverpool amekutwa amefia kifuani kwa mkewe mjue ndio mimi.

hii Liverpool inanipa raha kuliko mke wangu
Captain Marvelous
View attachment 2190006
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊Usife mkuu ndio kwanza mambo yanaanza kukaa sawa kwa depth ya hik kikosi tegemea mema sana kuanzia msimu huu kwenda mbele.

Nenda nae taratibu shemeji yetu 😂😂😂yupo tu huyo hahami mzee baba.

Cheers.

Kipara hana ujaja hapa anahaha akiwaza fainali ya Uefa wote tukivuka. Yaaani huyu sasa hata kwenye ligi kuu atachapika tu maana kashalegea.

YNWA
 
Ni suala la muda TU mkuu mwenzio OllaChuga Oc alishupaza Sana shingo mwishoe amekubali

Hata wakat wa gharika nuhu aliwasihi watu wapande hawakutaka she shangai hata wewe kutokili Liverpool n kiboko
😃😃😃😃 kikubwa tunafuraha sana na tuna enjoy kwaiyo atae nuna au wivu ilo ni jambo lake ata sisi tusha nuna sana na kuwa na wivu sana tu na timu nyingine.

Hate or love it...wala furaha yetu haimaanishi furaha yao.YNWA
 
Ronaldo leo kapiga Hat trick, Salah akizubaa atapitwa kama sio Son basi Ronaldo.
Binafsi ningependa arudishe makali yake sasa ili kiatu cha ufungaji bora akipate lakini endapo sasa atapitwa haina neno kama atawatengenezea wengine nafasi wafunge na hatimae tupate kombe.

Ushindi wa kombe lolote lile ni zaidi ya tuzo ya mchezaji mmoja mmoja.

Come on Salah wachakaze Manjesta Utd pale Anfield.

YNWA
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😊Usife mkuu ndio kwanza mambo yanaanza kukaa sawa kwa depth ya hik kikosi tegemea mema sana kuanzia msimu huu kwenda mbele.

Nenda nae taratibu shemeji yetu 😂😂😂yupo tu huyo hahami mzee baba.

Cheers.

Kipara hana ujaja hapa anahaha akiwaza fainali ya Uefa wote tukivuka. Yaaani huyu sasa hata kwenye ligi kuu atachapika tu maana kashalegea.

YNWA
Stive G anaenda kutusaidia😃😃
Kipara tayar kasha panic af na sisi tunakimbiza mwizi kimya kimya
 
Stive G anaenda kutusaidia😃😃
Kipara tayar kasha panic af na sisi tunakimbiza mwizi kimya kimya
Hahaha bila shaka tunahitaji msaada kwa wengine huku na sie tukishinda mechi zetu zilizobakia na hilo lipo ndani ya uwezo wetu.

Hio kazi ngumu akiiweza Steve G na Coutinho mbona mambo yatakua safi sanaaaaaa

YNWA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom