Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
FA nalo ni kombe kweli la kulilia
Kenge wa blue wewe.FA nalo ni kombe kweli la kulilia
Huyo ni Pain killer bhana haiwezekani azuke pap na kupotea chap haraka akisubiri hapa washinde aanze tena bwe bwe.cocastic njoo tena ujishaue tuone sasa.
kweli kabisa mkuu, this season tuna kikosi bora......Liverpool kwetu changamoto hua ni beki CB chaguo la kwanza na pili wakiwa hawapo tunateseka sana.
Yaani Matip na Fabinho.
Sasa Klopp akamsajili Konate na dogo mdogo mdogo anazidi pata somo playing Liverpool way bado kinda sana huyu mwamba.
Otherwise kwingine hata bila Mane nk ushindi utakuja tu.
Tumelia sana na depth ya kikosi hiki muda mrefu tulikua tunatolea mfano Manchester City walivyo sheheni vipaji kila idara. Sasa angalau Liverpool unaweza sema taratibu kikosi kimekua cha ushindani maana wapo wachezaji benchi wakubadili gemu muda wowote.
Hawa wote ni Usajili wa kimkakati.
Tsimikas
Diaz
Jota
Konate.
Ndio maana leo hii hata FA na Carabao tunaingia mazima ingekua zamani hapa hatupo Wembley maana Klopp alijikuta anakomaa na UCL na EPL kutokana na ufinyu wa kikosi chetu.
Mdogo mdogo tutaelewana.
YNWA
Toa timu uwanjani sasa kama kweli sio kombe.FA nalo ni kombe kweli la kulilia
Unajua hiki kikosi kinaanza pangwa mazoezini hivyo ukiona dogo yupo kuna vitu mwalimu havioni.kweli kabisa mkuu, this season tuna kikosi bora......
ila najiuliza nini kimemkuta Jones?
Keshalamba 3 nunge huko!Kesho tunaenda kuwatoa fana hayo maneno ya kuaduraboooobooooo yatakuwa yameisha ...!!
SawaKesho tunaenda kuwatoa fana hayo maneno ya kuaduraboooobooooo yatakuwa yameisha ...!!
Leo watatutambua vizuri😂😂😂Kikosi cha Liverpool cha kuwavaa Manchester City pale Wembley
Here we go
View attachment 2189722
View attachment 2189723
YNWA
Haya bwana.Nyie piteni vichakanj kucheza game za Europa then mje final ya CL muone wanaume tutakavo wagonga na kuwachapa kipigo cha mbwa Koko![]()
Hapa inatakiwa wote warudi nyuma kuzuia tu golini.Tunazo dk 20 tu kurudi wembley kwenye game ya fainal. Lets keeping praying on
Msimu uliopita walitufunga 4 Anfield KDB hakuwepo wala Waker hakuepo mbona walishinda Acha excuse za kijinga.No ederson, no dias, no walker, no KDB
No Man City