Its Pancho
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 16,775
- 28,222
kucheza na city always sio rahisi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mie kwa kile kikosi wala hata sijashtuka yaan.
kucheza na city always sio rahisi kabisa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mie kwa kile kikosi wala hata sijashtuka yaan.
Hatuna mzuka na FA sie. tumewaacha muende.kucheza na city always sio rahisi kabisa.
Game gani hio [emoji28][emoji28]Bado game 1 na city..... Come on reds
Ila zingeongezwa dakia tatu tu, ngoma ingetoka droo
Uefa.... Fainali😎Game gani hio [emoji28][emoji28]
Lembua bhana [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]WangeongezA Za nini tena?
Mechi iliyopita si walicheza KDB ,Rodri ,Mahrez ,Walker mbona hamkushinda sasa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila mie kwa kile kikosi wala hata sijashtuka yaan.
Wee nae utulie kwan, omba tukutane final mtajua hamjui. [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Mechi iliyopita si walicheza KDB ,Rodri ,Mahrez ,Walker mbona hamkushinda sasa.
Na bado UEFA pale big Benz anawasubiriHatuna mzuka na FA sie. tumewaacha muende.