Upo sahihi depth inakwenda vzuriiiiii sanaaa.... pazuri ni kwamba Liverpool tumetoka kua selling club na kua klabu ya kuvutia top talent na ku retain hivyo ni suala la Klopp kuona aidha Ox na Milner waodoke wote ama mmoja kupisha usajili mpya pale kati..Depth inaridhisha kiasi ingawa bado tunawadai eneo la Fabinho,
Man shitye mbabe wetu? Yule ambaye Kai jeshi la mtu mmoja alimchabanga kimoja Cha fastaa??!Heri kwenu pia maana sisi pasaka ilinoga baada ya kumuadhibu mbabe wenu man city...
#YNWA![]()
Tuko pamoja mwanakwetu..FA inanukia Sasa..hii lazima tubebe, japo mpira ni dakika tisiniThanks Ndugu.
Pasaka ni njema sana huku Anfield.
Nawe kheri ya Pasaka.
YNWA
@OllaChuga Oc umebadilika sana ,huyu ni wewe kweli mzee wa nyinyi matakatakaTuko pamoja mwanakwetu..FA inanukia Sasa..hii lazima tubebe, japo mpira ni dakika tisini





Nimeficha makucha mkuu😂😂😂@OllaChuga Oc umebadilika sana ,huyu ni wewe kweli mzee wa nyinyi matakataka![]()
Naona Lallana anataka medal kwa mlango wa jikoni. Huenda akawa shujaa wetu wa EPL kama alivyo Becker kwenye UCL kwa goli lake la kichwa.
Safi sana ila kwa kuhofia aibu na kelele zako FA tutashinda ili heshima iendeleeNimeficha makucha mkuu![]()
Ngoja tubebe kombe mutanitambua..
Sema hii liver ilivyo ya moto dah, lazima upoe tu kimtindo![]()
Villarreal ndiyo ndiyo mwisho wao.Wewe inauhakika unaweza kumtoa villareal...au tusubili muda ufike
Nimeficha makucha mkuu![]()
Ngoja tubebe kombe mutanitambua..
Sema hii liver ilivyo ya moto dah, lazima upoe tu kimtindo![]()





