Kwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.Mhmhmh OllaChuga Oc umedukuliwa ama umekunywa nini leo maana soon hapa hapa utaanza yale matakataka yako..
Pole, Darajani Thomas alichemka kikosi cha kazi kazi hakua makini sana nadhani kwa vile kabla ya sasa hajawai kutolewa na Real Madrid kwenye UCL alidhani atapita kumbe mzee wa Cuban Cigar alikua amejipanga vyema.
Poleni mmeteleza mjipange vyema msimu ujao kwa vile uhakika wa kumaliza big 4 unao.
Jumapili pambana umtoe Crystal Palace nje FA uingie fainali ukiwa na bahati unaweza ukalipata maana faino aidha Manchester City ama Liverpool mmoja yumo na unafahamu vyema sio wepesi.
YNWA
Huyu sio OllaChuga Oc , kuna mtu kamuibia simu.Kwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFC![]()
Aliyeshika simu ya chugastan afanye kuirudisha kwa mhusika tafadhaliKwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFC![]()
Kesho tunaenda kuwatoa faQuadruple baby
Quadruple baby
Quadruple baby
In Klopp,we believe
na hayo maneno ya kuaduraboooobooooo yatakuwa yameisha ...!!Mkuu Hawa hawana ubora wowote ,wanapita kichakani kufika final ya CL angalia wapopita et benefica , Villarreal,Sasa hii si sawa na Europa tuKwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFC![]()


Inabidi sasa uungane kutushabikia hakuna namnaKwa Sasa liverpool ni timu Bora sana muko kwenye peak na hii chance kwenu ya kufanya vizuri msimu huu ..hongereni kwa Hilo ..sisi Chelsea bwana alaah tunajipanga msimu ujao.
#CFC![]()










Huyo Benfica ni giant club Europe kabla hata hujazaliwa dogo . Unajua anamataji mangapi ya UEFA??Mkuu Hawa hawana ubora wowote ,wanapita kichakani kufika final ya CL angalia wapopita et benefica , Villarreal,Sasa hii si sawa na Europa tu
Hata ukimuuliza taila ....
Man city Vs real Madrid
Liverpool Vs villareal
Ni ipi CL au Europa league ,lazima atakujibu kiusahihi kabisa ...
Hawa jamaa wanapita kichakani wakati sisi wanaume tunapita kibingwa kabisa![]()
Huyo Benfica ni giant club Europe kabla hata hujazaliwa dogo . Unajua anamataji mangapi ya UEFA??
unahistoria gani na UEFA tofauti na kucheza fainali ambayo ulikazwa na Kai?Sasa hivi si tupo 2022 au unafikili hizo historia zinacheza![]()
unahistoria gani na UEFA tofauti na kucheza fainali ambayo ulikazwa na Kai?
Yaani wewe kwenye club bingwa huna ushuhuda unaweza ukatoa.
Kwan hata kwenye current football unanini? Yaani wewe mjomba linapokuja swala la mafanikio unatakiwa uwe unasubiri tu, haya current mpaka sasa LFC ina league cup( carabao) , chelsea ina CWC , wewe una nini??By the way katika football mimj siamini mambo ya historia ,kwani hizo historia hazina msaada wowote kwenye current football,au kupambana kwenye pitch ...hatuna CL na hata tusipochukua huu mwaka hakuna tatizo lolote .... Nottingham forest ana CL 2 Sasa yupo wapi ,historia ya kuchukua hizo CL 2 haziwezi kumrudisha hata kuja kucheza PL![]()
Kwan hata kwenye current football unanini? Yaani wewe mjomba linapokuja swala la mafanikio unatakiwa uwe unasubiri tu, haya current mpaka sasa LFC ina league cup( carabao) , chelsea ina CWC , wewe una nini??
Kwa maana hiyo hujui hata maana ya Current , kenge wewe hiyo unawaza ni future.Wewe ni falaaaa msimu umeisha au unatingisha wowowoo humu kutapachikwa ukuni ...CWC imechezwa lini kinabo wewe ,hio si mwaka Jana![]()
Kwa maana hiyo hujui hata maana ya Current , kenge wewe hiyo unawaza ni future.
Akili yako haipo sawa ndio maana nimekuambia hujui maana ya current, CWC mashindano yake yamesha anza??Unasema chelsea mwaka huu amechukua CWC ? Unaakili wewe kweli![]()