Wewe inauhakika unaweza kumtoa villarealKWA Madrid hamtapenya. Fiinali Ni Liverpool vs RMadrid penda usipende.


...au tusubili muda ufikeAisee uwezo una tafsri nyingi maana kwa rekodi sasa sahihi ni kwamba tuliwachapa ki roho safi Wembley haha just kidding...Uwezo wa kuwapiga tunao
Sababu ya kuwapiga tunayo
Nia ya kuwapiga tunayo
Tukutane 14 May
Uwezo wa kuwapiga tunao
Sababu ya kuwapiga tunayo
Nia ya kuwapiga tunayo
Tukutane 14 May
Wee unajua kabisa Karabao mlibebwaHivi kwanini mnakuwaga na kelele sana? Hata kwenye carabao mlisema hivi hivi mwisho wa siku mkaangukia pua.
Ingekuwa timu nyingine hapa ingekuwa kimya ila nyinyi lazima mpige makelele mtawafunga wapinzani wetu.
Sisi kikubwa wachezaji wetu wote wawepo tu.
taja game zingine hiyo ya Wembley unajua fika mlibebwaAisee uwezo una tafsri nyingi maana kwa rekodi sasa sahihi ni kwamba tuliwachapa ki roho safi Wembley haha just kidding...
Itakua gemu murwa sana. Thomas mara hii naona akiwa very efficient kwenye line up ya siku ya tukio.
Nimefurahi fainali Chelsea vs Liverpool FA 2022 imekaa powaaa sana maana hua tukikutana hakuna mzaha ni serious business mwanzo mwisho.
Hongera sana kwa kuvuka hii nusu fainali.
YNWA
Mkuu hunui mbinu za kivita nini ..TUnakubali kumbe tunawalia time TU😂😂😂Ni suala la muda TU mkuu mwenzio OllaChuga Oc alishupaza Sana shingo mwishoe amekubali
Hata wakat wa gharika nuhu aliwasihi watu wapande hawakutaka she shangai hata wewe kutokili Liverpool n kiboko
Another bullshitWee unajua kabisa Karabao mlibebwa
Mkuu hakuna kubebwa tulifika penati na kwa rekodi sahihi ni kwamba kocha wako alichemka ile sub ya Mendy kumtoa kilichofuata ni minung'uniko Darajani mpaka sasa.taja game zingine hiyo ya Wembley unajua fika mlibebwa
Heri kwenu pia maana sisi pasaka ilinoga baada ya kumuadhibu mbabe wenu man city...Oyaa Wana liver eri ya pasaka kwenu nyote.
#CFC![]()



Thanks Ndugu.Oyaa Wana liver eri ya pasaka kwenu nyote.
#CFC💙💙💙
Hii ndio depth tumekua tukikomaa humu ipatikane ili kuwapa wachezaji muda wa recovery na kua na fresh legs uwanjani.
Depth inaridhisha kiasi ingawa bado tunawadai eneo la Fabinho,Hii ndio depth tumekua tukikomaa humu ipatikane ili kuwapa wachezaji muda wa recovery na kua na fresh legs uwanjani.
Ilifika mahala aisee kwa kuona hatuna uwezo wa kushindana mazima vikombe vyote vingine tukavipachika majina ya Mickey Cupsna ilikua sahihi kwa vile benchi lilikua hoi halina ubavu wa kuleta game changers lakini sasa baada ya usajili wa Konate, Jota, Diaz na Tsimikas mambo sasa yamebadilika mno kwanza imepunguza kasi ya majeruhi pale nyuma kwa vile nafasi ya kupumzika ipo especially kwa injury prone Matip.
Kinachobakia sasa ni kwenda mazima kila kombe.
YNWA