Mondela
JF-Expert Member
- Aug 20, 2021
- 2,567
- 3,793
Tukishinda napo utasemaje? Haya weka maneno ya akiba et.Nanyinyi leo hamtoboi na hamtaamini macho yenu.
Tukishinda napo utasemaje? Haya weka maneno ya akiba et.Nanyinyi leo hamtoboi na hamtaamini macho yenu.
LFC 4 - 0 Benfica
Man city Vs atletico Madrid
Liverpool Vs benefica
Game gani hapo imekaa ki uefa 😅😅😅😅😅
Tusijekuwa tunapoteza muda kuaangalia kumbe mwenzetu anacheza ki Europa Europa
Jamaa una wivu na ratiba za Liverpool. Wewe round ya 16 si uliifunga timu ya Europe conference leagueMan city Vs atletico Madrid
Liverpool Vs benefica
Game gani hapo imekaa ki uefa [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Tusijekuwa tunapoteza muda kuaangalia kumbe mwenzetu anacheza ki Europa Europa
Tumuweke OllaChuga Oc mikononi mwa Mungu[emoji23][emoji23]View attachment 2186034
Maombi mengi kwake,mungu amsimamie hili nalo litapita[emoji22][emoji22].Tumuweke OllaChuga Oc mikononi mwa Mungu
OllaChuga Oc Bwana atakupigania nawe utanyamaza kimyaMaombi mengi kwake,mungu amsimamie hili nalo litapita[emoji22][emoji22].
Amina bwana na atende kama atakavyo na jina lake lihimidiwe.OllaChuga Oc Bwana atakupigania nawe utanyamaza kimya
Simama tumsifu Bwana[emoji1787]
Na OllaChuga Oc asema AmenAmina bwana na atende kama atakavyo na jina lake lihimidiwe.
hawa villareal ni watu wakuwaendea very agressive si wa kuwachukulia poa kabisa kwa mpira niliouona wakicheza dhidi ya buyern wana mpira flani wa kaunta na mashambulizi yakushtukiza ni wakuwa nao makini sana hasa ile high line yetu tunayotumiaUsimchukulie powa Unai huyu bwana ni masta wa Uefa.
Klopp alikutana nae akiwa Sevila fainali ya Uropa wee mbona alitupiga akiwa ametulia kama leo yaaani.
Hawa ma under dogs hua ni shinda sana aisee.
Bayern wanalia mpaka sasa.
YNWA
Kikosi hakijakaa vyema sana.....au ndo anawapumzisha kwa ajili ya battle na City)
Huyu kocha nadhani anamaanisha liver wameshapita